MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #141
Ndio hayo macho ushafunguka Sasa,US anaibaka mafuta Syria!Kama alivyofanya huko Iraq,Libya NK!
Yeye ni maslahi yake kwanza bila kuangalia damu!Sasa kawaingiza mkenge Ukraine,kamgombanisha na jirani yake na Sasa anafanya biashara ya Silaha Kwa malipo ya damu za waukraine!
Baada ya hii SMO,Ukraine atalipa Kwa miongo mingi sana!
Nenda kaulize UK kamaliza kulipa deni lini Kwa US la WW2!
Hiyo Syria ya maarabu ambayo huwa mnayaabudu yanapenda kuuana tangu hiyo dini inavumbuliwa imeenezwa kwa kuuana, uarabuni kote huko ni kuuana tu na kulipukiana, na wataibiwa mafuta mpaka wakome.