Kuwakwepa Israel ngumu sana. Ndio waliobuni kifaa kinachowekwa kwenye laptops na computer nyingi duniani kinachoweza kupeleleza na hakiwezi kutoka
Hiki kifaa hata kinaweza kukuchunguza hata utumie VPN, upige window, uzime computer, n.k.
Kampuni ya Intel ina maabara kubwa za utafiti na maboresho nchini Israel.
Intel Management Engine (ME) iligunduliwa na inaendelea kufanyiwa maboresho nchini Israel
ni kifaa kidogo kinachowekwa ndani ya processor za Intel zinazotumika kwenye laptops, computer na Server nyingi, pia wapo kwenye Drones, mitambo ya ulinzi, Satelite, Router, n.k, kama computer yako imeandikwa intel ndio hizo,
kinafanya kazi hata kama kompyuta yako umeizima. Kazi yake ni kutoa msaada wa kusaidia kusimamia kompyuta, usalama, na kurekebisha maswala ya kompyuta hata kama mfumo umeharibika (recovery).
Kwa sababu kinawekwa ndani ya chip ya kompyuta, ni vigumu kuzima, kufuta au kuitoa Intel Management engine kwani kipo ndani kabisa kama hardware. Pia, ina uwezo wa kufikia maeneo muhimu ya kompyuta, kama kumbukumbu na matumizi. Hii ndiyo sababu imekuwa na wasiwasi wa usalama na faragha.
Wakati wa miaka ya nyuma kama 2017 na 2020, wanasayansi wa usalama na wadukuzi waligundua mapengo (flaws) ndani ya Intel ME ambayo yangeruhusu kupata kuiba data, kuchunguza au hata kuicontrol coputer bila kujulikana,
Intel huwa inaziba mapengo haya kwa kutoa updates lakini mara nyingi hizi updates zinatengenezwa na Israel ambako Intel ina maabara kubwa ya utafiti.
wadukuzi au wanasayansi wa usalama ambao wanagundua matundu ya usalama ya Intel ME, mara nyingi hupokea zawadi nono ($$$) kwa kuripoti mapengo hayo ili yazibwe.
Siri zote za hiki kifaa wanazo Israel, kama ni adui wao ni rahisi sana, kila mnaposikia Israel ikienda sehemu imemtandika kiongozi mkubwa hata ajifiche chooni basi ndio mjue huwa hawabahatishi,
AKILI NA TEKNOLOJIA