Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #21
Biblia mzee inasema. Wewe unasimamia maandiko yapi:Kwamba padre akisema kitu ndio sahihi? Au unadhani kila mtu anaamini hayo madini ya wazungu?
Torch of freedom ya marekani ni sigara don't take it serious bro!Kwa jinsi ninavyojua Marekani hawana mlima mrefu kama wetu huu Kilimanjaro. Labda unaweza kunisaidia kujua kama wameshawahi kuweko huo mwenge wao Juu ya Mlima
Kwanza umekubali kuwa Mungu waliwatangulia wana wa Israel akiwa amewasha nguzo ya moto ili kuwapa nuru?Nipe mstari unaosema tuwashe Mwenge
Mungu ni Mungu, yeye ni nuru. Nipe mstari unaisema tuwashe mwengeKwanza umekubali kuwa Mungu waliwatangulia wana wa Israel akiwa amewasha nguzo ya moto ili kuwapa nuru?
Biblia ni kitu gani boss, au kwakuwa ww unaiamini basi unadhani wotea tuanamini hicho kitabu chako. Kama unaamini biblia iamini kimpango wako na sio kila mtu.Biblia mzee inasema. Wewe unasimamia maandiko yapi:
Soma Kutoka 25:31-40 Mungu alimwagiza Musa kutengeneza kinara cha taa cha dhahabu
Tena wa kuzimu!Hakuna cha umuhimu zaidi ya ushirikina.
Mbona unazunguka Kutoka 13:21Mungu ni Mungu, yeye ni nuru. Nipe mstari unaisema tuwashe mwenge
Tueleze ushirikina ni nini? Maana Biblia huitaki.Biblia ni kitu gani boss, au kwakuwa ww unaiamini basi unadhani wotea tuanamini hicho kitabu chako. Kama unaamini biblia iamini kimpango wako na sio kila mtu.
Biblia utaijua ukiwa umezeeka mzee. Soma bibli ndugu:Mungu ni Mungu, yeye ni nuru. Nipe mstari unaisema tuwashe mwenge
Hebu somaKwanza umekubali kuwa Mungu waliwatangulia wana wa Israel akiwa amewasha nguzo ya moto ili kuwapa nuru?
Halafu watu wakienda kwa Pdiddy mnaanza kupiga kelele kumbe hata nchi nayo ina Pdiddwa ila kwa style nyingineIshara kumi na mbili za dunia zimeunganishwa katika makundi manne (Moto, Ardhi, Hewa na Maji)
Kwakuwa tunataka tuijue nchi yetu zaidi kwa leo sitaongelea kwa undani zaidi hizo ishara Kumi na Mbili na makundi yote hayo manne, bali leo nitaongelea pekee kuhusu Moto
Kuwasha mwenge kunaweza kuashiria mwanga, mwangaza wa kiroho, na uongozi
- Kuleta Mwanga kwa Mambo ya Siri: Kuwasha mwenge kunaweza kumaanisha kuangaza mambo ambayo hayajulikani au kuleta uwazi katika hali fulani. Inaweza kuashiria kipindi ambacho ukweli uliokuwa umefichika au siri zinafichuliwa.
- Uongozi na Hekima: Mwenge mara nyingi huonekana kama ishara ya hekima au maarifa ya kiroho. Unaweza kumaanisha kuwa na mwongozo wakati wa kipindi cha giza au kuchanganyikiwa, kama vile jukumu la mwalimu au kiongozi wa kiroho.
- Mabadiliko na Mwanzo Mpya: Mioto, kwa asili yake, inahusishwa na kipengele cha moto, ambacho ni kipengele cha mabadiliko katika unajimu. Kuwasha mwenge kunaweza kumaanisha mwanzo wa hatua mpya, hasa ile inayohitaji kuachilia mambo ya zamani ili kutoa nafasi kwa mapya.
- Kuamka Kiroho: Katika muktadha wa kiroho, kuwasha mwenge kunaweza kuashiria kuamka au kupanuka kwa ufahamu wa mtu. Ni kuhusu kuwa na ufahamu zaidi wa tabaka za ndani za maisha na nafsi.
Taifa lisilokuwa na Utamaduni na Mila zake hilo ni Taifa mfu.
Nitaendelea kueleza zaidi....
Soma Biblia ndugu yangu acha uzembe:Mungu ni Mungu, yeye ni nuru. Nipe mstari unaisema tuwashe mwenge
Swali langu halijajibiwa. Kwanza umekubali kuwa Mungu waliwatangulia wana wa Israel akiwa amewasha nguzo ya moto ili kuwapa nuru?Hebu soma
Isaya 50:11
Someni Biblia acheni uzembe.Hebu soma
Isaya 50:11
Usome Biblia uache kukariri mzee.Hebu soma
Isaya 50:11
Ishara kumi na mbili za dunia zimeunganishwa katika makundi manne (Moto, Ardhi, Hewa na Maji)
Kwakuwa tunataka tuijue nchi yetu zaidi kwa leo sitaongelea kwa undani zaidi hizo ishara Kumi na Mbili na makundi yote hayo manne, bali leo nitaongelea pekee kuhusu Moto
Kuwasha mwenge kunaweza kuashiria mwanga, mwangaza wa kiroho, na uongozi
- Kuleta Mwanga kwa Mambo ya Siri: Kuwasha mwenge kunaweza kumaanisha kuangaza mambo ambayo hayajulikani au kuleta uwazi katika hali fulani. Inaweza kuashiria kipindi ambacho ukweli uliokuwa umefichika au siri zinafichuliwa.
- Uongozi na Hekima: Mwenge mara nyingi huonekana kama ishara ya hekima au maarifa ya kiroho. Unaweza kumaanisha kuwa na mwongozo wakati wa kipindi cha giza au kuchanganyikiwa, kama vile jukumu la mwalimu au kiongozi wa kiroho.
- Mabadiliko na Mwanzo Mpya: Mioto, kwa asili yake, inahusishwa na kipengele cha moto, ambacho ni kipengele cha mabadiliko katika unajimu. Kuwasha mwenge kunaweza kumaanisha mwanzo wa hatua mpya, hasa ile inayohitaji kuachilia mambo ya zamani ili kutoa nafasi kwa mapya.
- Kuamka Kiroho: Katika muktadha wa kiroho, kuwasha mwenge kunaweza kuashiria kuamka au kupanuka kwa ufahamu wa mtu. Ni kuhusu kuwa na ufahamu zaidi wa tabaka za ndani za maisha na nafsi.
Taifa lisilokuwa na Utamaduni na Mila zake hilo ni Taifa mfu.
Nitaendelea kueleza zaidi....
Wakati unawashwa Dar es salaam hakukuwa na BRT wana hatukuwa na SGR ya umeme.Huo mwenge tokea ulipowashwa miongo hiyooo hadi sasa mbona tunazidi kwenda nyuma tu badala ya kusonga mbele?