Kuwasha Mwenge kunaashiria "Illumination, enlightenment, and guidance." Mwenge wa Uhuru ni muhimu sana katika taifa letu

Kuwasha Mwenge kunaashiria "Illumination, enlightenment, and guidance." Mwenge wa Uhuru ni muhimu sana katika taifa letu

We acha kujibu vitu usivyojua bwana..unadhani Marekani wana Muda wa ukimbizana na Moshi?hakuna cha recycle wala nini nilikuwa namzingua tu huyu much know ila alivyojibu tu nikajua hakuna anachoelewa
Najua wamrekani wanamuda wa kudinyana tigo 🤣🤣🤣🤣🤣Wacha sisi tuendelee na kukimbiza mwenge wao waendelee na kudinyana tiGo
 
Huyu kazoea makafara ya kwenye vilinge vyao
Watu wanalazimisha mambo yao ya hivyo yaendana na vitu ambavyo ni vya ishara. Tukianza kuendekeza watu wajinga kama hawa wasio na exposure nchi haitafanya jambo lolote.

Imagin mtu mzima kabisa anasema eti kukimbiza mwenge ni kafara 🤣 🤣 🤣 🤣

Kujifanya mjuaji wa kila kitu mwisho wake ni ujinga Mshana Jr jifunze kuheshimu wengine.
 
Huyo makorokoro yake ya kilingeni yalishabemendwa yanampaga maono ya ajabu ajabu tu,,,,,,kalikuja na thread jezi ya Yanga imelaaniwa kisa kuna alama ambazo vilingeni kwao wanajua ni za laana.....cha ajabu Yanga tokea kipindi hiko hadi leo inakimbiza
 
Hao watu bado ni primitive wanaamini vitu vya ajabu ajabu tu. Kila nembo anataka aitafsiri kwa utashi wake wa kishirikina. Watu waliostaarabika wanachukulia vitu vya kawaida na ni alama tu.

Utakuta hata alama za barabarani ataanza kuziita ni alama za kishirikina. Very stupid Mshana Jr 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mshana Jr Kuja huku utueleze acha kufunika kichwa chako kwenye mchanga 🤣🤣🤣🤣
Dunia inasonga mbele acha kutuletea mila zako kijima
 
Ushirikina ni mawazo finyu ya watu wasio jua dunia inaendeshwaje. Watu wenye uelewa na dunia wanajua kwa kina maana ya mambo. Nadhani wewe ni mmoja wa watu wenye mawazo finyu.
Ushavuta mimoshi ya mwenge na tayari ishakufanya zezeta huwezi kuelewa.
 
Ushavuta mimoshi ya mwenge na tayari ishakufanya zezeta huwezi kuelewa.
Wewe huwezi kujadiliana na mtu msomi kama mimi. Nenda kapige umbea na akina Juma Lokole wenzako 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom