Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #81
Najua wamrekani wanamuda wa kudinyana tigo 🤣🤣🤣🤣🤣Wacha sisi tuendelee na kukimbiza mwenge wao waendelee na kudinyana tiGoWe acha kujibu vitu usivyojua bwana..unadhani Marekani wana Muda wa ukimbizana na Moshi?hakuna cha recycle wala nini nilikuwa namzingua tu huyu much know ila alivyojibu tu nikajua hakuna anachoelewa
Huyu kazoea makafara ya kwenye vilinge vyaoKafara inahusika na kuchinja wanyama. Kitu ambacho hakihusiani na kuchinja wanyama siyo kafara
Umechemka mzee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Watu wanalazimisha mambo yao ya hivyo yaendana na vitu ambavyo ni vya ishara. Tukianza kuendekeza watu wajinga kama hawa wasio na exposure nchi haitafanya jambo lolote.Huyu kazoea makafara ya kwenye vilinge vyao
Huyo makorokoro yake ya kilingeni yalishabemendwa yanampaga maono ya ajabu ajabu tu,,,,,,kalikuja na thread jezi ya Yanga imelaaniwa kisa kuna alama ambazo vilingeni kwao wanajua ni za laana.....cha ajabu Yanga tokea kipindi hiko hadi leo inakimbizaWatu wanalazimisha mambo yao ya hivyo yaendana na vitu ambavyo ni vya ishara. Tukianza kuendekeza watu wajinga kama hawa wasio na exposure nchi haitafanya jambo lolote.
Imagin mtu mzima kabisa anasema eti kukimbiza mwenge ni kafara 🤣 🤣 🤣 🤣
Kujifanya mjuaji wa kila kitu mwisho wake ni ujinga Mshana Jr jifunze kuheshimu wengine.
Hao watu bado ni primitive wanaamini vitu vya ajabu ajabu tu. Kila nembo anataka aitafsiri kwa utashi wake wa kishirikina. Watu waliostaarabika wanachukulia vitu vya kawaida na ni alama tu.Huyo makorokoro yake ya kilingeni yalishabemendwa yanampaga maono ya ajabu ajabu tu,,,,,,kalikuja na thread jezi ya Yanga imelaaniwa kisa kuna alama ambazo vilingeni kwao wanajua ni za laana.....cha ajabu Yanga tokea kipindi hiko hadi leo inakimbiza
Ushavuta mimoshi ya mwenge na tayari ishakufanya zezeta huwezi kuelewa.Ushirikina ni mawazo finyu ya watu wasio jua dunia inaendeshwaje. Watu wenye uelewa na dunia wanajua kwa kina maana ya mambo. Nadhani wewe ni mmoja wa watu wenye mawazo finyu.
Wewe huwezi kujadiliana na mtu msomi kama mimi. Nenda kapige umbea na akina Juma Lokole wenzako 🤣 🤣 🤣 🤣Ushavuta mimoshi ya mwenge na tayari ishakufanya zezeta huwezi kuelewa.
Labda usomi wa ushoga kwa P.Diddy,choko mkubwa.Wewe huwezi kujadiliana na mtu msomi kama mimi. Nenda kapige umbea na akina Juma Lokole wenzako 🤣 🤣 🤣 🤣