Nami nahisi amefanya hivyo hivi hakuna antibiotics naweza tumia?
Sasa nimchunguze mpenzi wangu ili iweje?kuchepuka ni given ila kaniuz kuniletea miwasho
unawezaje kujua kwamba ni bacteria infection? na ni gram negative au positive?
inaweza ikawa viral au fungal infection; nenda hospitali mficha uchi hazai.
Ila swali la tuko wangapi wewe halikusumbui inaonekana! na hata kawivu ka mbaaalii sioni dalili yake au ni open relationship?
fuata sana ushauri huu wa Kaunga! kweli jf ni hazina.
Aha ha ha haaa...pole mwayanimekwenda hospital wamenambia ni allery nimepata na dawa niko sawa, siyo gono heheheeh
Watu hamuogopi kufa naona,mtu ametoka safari hujui amefanya na wangapi huko mnafikia tu straight na kugegedana hatari sana....na pole yako.....
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
unawezaje kujua kwamba ni bacteria infection? na ni gram negative au positive?
inaweza ikawa viral au fungal infection; nenda hospitali mficha uchi hazai.
Ila swali la tuko wangapi wewe halikusumbui inaonekana! na hata kawivu ka mbaaalii sioni dalili yake au ni open relationship?
Wanabodi mwenzenu nawashwa sana ukeni ni baada ya kukutana kimwili na mpenzi wangu peku. Nimejaribu kujiswafi na detto ila bado muwasho upo.naomba mnielekeze dawa za kutumia kuondokana na hili tatizo.
heheheheh ndugu yangu weee maisha yenyewe mafupi yanini kujipa stress na mtu niliyekutana naye ukubwani? i love my self too much siwezi kujikosesha furaha wala kuusononesha moyo wangu kwaajili ya mwanaume, nilikuja peke yangu duniani, and yes its an open relationship, asante pia kwa ushauri nimepata dawa na everything ziko fine kwa sasa