Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,494
Nami nahisi amefanya hivyo hivi hakuna antibiotics naweza tumia?
unawezaje kujua kwamba ni bacteria infection? na ni gram negative au positive?
inaweza ikawa viral au fungal infection; nenda hospitali mficha uchi hazai.
Ila swali la tuko wangapi wewe halikusumbui inaonekana! na hata kawivu ka mbaaalii sioni dalili yake au ni open relationship?