Ila na wao c wanafunzi wanajifunza utabibu[emoji16][emoji16]Swala la kuwavalisha matabibu sare za shule Kama wanafunzi wa sekondari Ni fedheha kubwa mno
Inawashushua heshima pia hata mgonjwa anakuwa hayupo comfortable kuguswa na mtu aliyevaa sare za sekondari
Angalau libuniwe vazi lingine la tofauti kabisa na sare za sekondari Kama sare za watu wanaosoma unesi angalau kuliko uniform wanazovaa matabibu
Hii ni fedheha
Kama sare za wanafunzi wa sekondariMavazi yapi hayo wekeni picha..
Uko sawa kabisa, lakin wakibuni vazi lingine litakua uniform pia. Nafikiri the best option ni kuwaondolea suala zima la.uniform kama walivo wanaosoma diploma zingine kama finance n.k.. after hapo wavae clinical coats wanavoenda wodini n.kSwala la kuwavalisha matabibu sare za shule Kama wanafunzi wa sekondari Ni fedheha kubwa mno
Inawashushua heshima pia hata mgonjwa anakuwa hayupo comfortable kuguswa na mtu aliyevaa sare za sekondari
Angalau libuniwe vazi lingine la tofauti kabisa na sare za sekondari Kama sare za watu wanaosoma unesi angalau kuliko uniform wanazovaa matabibu
Hii ni fedheha
Piga shule kijana .... ukienda wodini si mnavaa makoti ... ukianza hivyo utamaliza chuo then ukianza kazi utaanza kuliona koti nalo kama sare hivyo utaacha pia kuvaa ...Swala la kuwavalisha matabibu sare za shule Kama wanafunzi wa sekondari Ni fedheha kubwa mno