Kuweka au Kutokuweka WhatsApp status: Kuna uhusiano na mtu kuwa smart, msomi au tajiri?

Kuweka au Kutokuweka WhatsApp status: Kuna uhusiano na mtu kuwa smart, msomi au tajiri?

Nipo msibani huku mwanza ukerewe mama mkwe amekufa lkn wife wangu ameshatupia picha za marehemu mama yake zaidi ya 20 Hadi nashangaa hii ni nini anafanya? Haya mambo ni Bora tuwaachie wenyewe wanawake wafanye ujinga wao
Kwanza poleni kwa msiba mkuu,ndio Maana haya mambo naonaga Ni ya wanawake Per Se.Yaani hapo ndipo umewafikisha Kwny ulimwengu wao waupendao na hamna Kitu utamwambia khs hayo mambo ya status akakuelewa.
 
Sidhan kama Rc,dc,Dso, DRSO katibu tawala wana uwo utoto wa kupost mababy zao [emoji23] sas nianze ku mute watu mda uwo nautoa wapi mim
Yes wanapost vizuri kabisa yani. Mawaziri, DCs, RCs wanapost. Kuna DC mmoja haipiti siku hajampost mke wake. Na caption za mahaba yote yani. Status kwangu nawaona sana hao mnaosema wakubwa wakipost memes na familia zao
 
kwenye huu uzi nimegundua watu wana complicate sana maisha walai ! yani mnajadili watu wanaoweka status? nimepigwa na butwaa
 
Kuna wakati natamani niweke mipasho status, ile mipasho haswa ya Khadija kopa
 
Yes wanapost vizuri kabisa yani. Mawaziri, DCs, RCs wanapost. Kuna DC mmoja haipiti siku hajampost mke wake. Na caption za mahaba yote yani. Status kwangu nawaona sana hao mnaosema wakubwa wakipost memes na familia zao
Kwang bc nawaona wanapost memes san san zile za utani wasimba na yanga ila izo za kuhuc wake zao cjawahi ona kwang me
 
Status zina mambo aisee kama mimi huwa nawekaga memes tu.Watu walinisema mpaka wakachoka mi huwa ni memes tu.Sasa kuna wale wa kuwekaga nyimbo za injili mwanzo mwisho na vifungu vya biblia ama mawaidha ya kiislam tu.Lakini nawajuwa ni washenzi kupitiliza.Kuna wengine huwa ni kuweka vijembe mwanzo mwisho kila siku ye vijembe tu[emoji23] kuna wengine wao kuweka maneno ya motivation speaker tu.Yaan status ni tafran sana.
 
Naogopa watu.
Wadau watanishambulia...lkn ipo tu siku yaani nitakata kiu yangu
😄😄 Motivational speaker wanasemaga 'live your life mkuu,life is short na blah blah blah Kama hizo mkuu.

Jiachie
 
Status zina mambo aisee kama mimi huwa nawekaga memes tu.Watu walinisema mpaka wakachoka mi huwa ni memes tu.Sasa kuna wale wa kuwekaga nyimbo za injili mwanzo mwisho na vifungu vya biblia ama mawaidha ya kiislam tu.Lakini nawajuwa ni washenzi kupitiliza.Kuna wengine huwa ni kuweka vijembe mwanzo mwisho kila siku ye vijembe tu[emoji23] kuna wengine wao kuweka maneno ya motivation speaker tu.Yaan status ni tafran sana.
Kwani ukiwa mshenzi Ndo usisikilize mahubiri
 
Kuna wale wanaweka status kama shanga za wamasai sifungui ng'oooooo labda ziwe memeeee...
 
Back
Top Bottom