Kwahiyo mkeo mjinga πNipo msibani huku mwanza ukerewe mama mkwe amekufa lkn wife wangu ameshatupia picha za marehemu mama yake zaidi ya 20 Hadi nashangaa hii ni nini anafanya? Haya mambo ni Bora tuwaachie wenyewe wanawake wafanye ujinga wao
Sana tuKwani na wewe unawekaga?
Kwanza poleni kwa msiba mkuu,ndio Maana haya mambo naonaga Ni ya wanawake Per Se.Yaani hapo ndipo umewafikisha Kwny ulimwengu wao waupendao na hamna Kitu utamwambia khs hayo mambo ya status akakuelewa.Nipo msibani huku mwanza ukerewe mama mkwe amekufa lkn wife wangu ameshatupia picha za marehemu mama yake zaidi ya 20 Hadi nashangaa hii ni nini anafanya? Haya mambo ni Bora tuwaachie wenyewe wanawake wafanye ujinga wao
Acha nimwulize mwenyewe kwanzaKwahiyo mkeo mjinga π
Sio mbaya kwel ila binafs me sio mtu wa mitandao kiivo nawez kukaa ata siku 3 cjaingia uko whtsp mpk kuna kipind wife ikawa kila akiingia whtsp anakuta ipo vile vile hakuna mabadilik yoyot mpk akanambia "cjui kama cn whtsp nyengin ila nimeificha asijue" ππMara moja moja kuna ubaya gani
Sidhan kama Rc,dc,Dso, DRSO katibu tawala wana uwo utoto wa kupost mababy zao π sas nianze ku mute watu mda uwo nautoa wapi mimHao wakubwa wenyewe wanapost ujue. Kama hutaki waone unawamute unaishi life lako
Yes wanapost vizuri kabisa yani. Mawaziri, DCs, RCs wanapost. Kuna DC mmoja haipiti siku hajampost mke wake. Na caption za mahaba yote yani. Status kwangu nawaona sana hao mnaosema wakubwa wakipost memes na familia zaoSidhan kama Rc,dc,Dso, DRSO katibu tawala wana uwo utoto wa kupost mababy zao [emoji23] sas nianze ku mute watu mda uwo nautoa wapi mim
Cha ajabu na wewe upo Kwny Uzi unaojadili watu wanaoweka status.kwenye huu uzi nimegundua watu wana complicate sana maisha walai ! yani mnajadili watu wanaoweka status? nimepigwa na butwaa
Kwang bc nawaona wanapost memes san san zile za utani wasimba na yanga ila izo za kuhuc wake zao cjawahi ona kwang meYes wanapost vizuri kabisa yani. Mawaziri, DCs, RCs wanapost. Kuna DC mmoja haipiti siku hajampost mke wake. Na caption za mahaba yote yani. Status kwangu nawaona sana hao mnaosema wakubwa wakipost memes na familia zao
Nini kinakuzuia?Kuna wakati natamani niweke mipasho status, ile mipasho haswa ya Khadija kopa
Naogopa watu.Nini kinakuzuia?
ππ Motivational speaker wanasemaga 'live your life mkuu,life is short na blah blah blah Kama hizo mkuu.Naogopa watu.
Wadau watanishambulia...lkn ipo tu siku yaani nitakata kiu yangu
Hawa motivational speakers wanaweza wakakuponza ukaonekana kitukoππ Motivational speaker wanasemaga 'live your life mkuu,life is short na blah blah blah Kama hizo mkuu.
Jiachie
Kwani ukiwa mshenzi Ndo usisikilize mahubiriStatus zina mambo aisee kama mimi huwa nawekaga memes tu.Watu walinisema mpaka wakachoka mi huwa ni memes tu.Sasa kuna wale wa kuwekaga nyimbo za injili mwanzo mwisho na vifungu vya biblia ama mawaidha ya kiislam tu.Lakini nawajuwa ni washenzi kupitiliza.Kuna wengine huwa ni kuweka vijembe mwanzo mwisho kila siku ye vijembe tu[emoji23] kuna wengine wao kuweka maneno ya motivation speaker tu.Yaan status ni tafran sana.
ππ Za kuambiwa changanya na zako.Hawa motivational speakers wanaweza wakakuponza ukaonekana kituko
Safi sanqSana tu