Kuweka au Kutokuweka WhatsApp status: Kuna uhusiano na mtu kuwa smart, msomi au tajiri?

Kuweka au Kutokuweka WhatsApp status: Kuna uhusiano na mtu kuwa smart, msomi au tajiri?

Kuna mtu humu nina namba zake huu mwaka unaenda wa pili, ila hata siku moja sijawahi muona akiweka status ama akiview zangu.

Siku nyingine naweka naset aone yeye mwenyewe lakini zitamaliza masaa 24 sioni akiview

Watu wa hivyo wana shida gani? Ni utu uzima au ndio wako busy hawana muda na status??

Bado nawashangaaa aisee

Wengine wana view kwa Siri Kama hujui Ndio nakwambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me siweki status labda siku moja moja kwel yaan na wala cn kawaid ya kuangalia status za watu labda wachache san hawazidi at 5 ili suala la status kila siku nagomban na wife anatak nimuweke status kwa lazima huwa anafikia hatua mpk anasema simpendi kisa simuweki status 😂 kuna kipindi alikua anavizia nimelala anachukua cm yng na kujipost kwa status yng 😂 nikaona huu ujinga nikaifutilia mbali app ya whtsp ivi leo anaenda harusin kwa shoga yake uko tangu jana wimbo ni uwo tu anambia "kwa atakavyopendez leo nisipomuweka status tutagombana" 😀 simuweki nasubir tuje tugombane😁
 
Me siweki status labda siku moja moja kwel yaan na wala cn kawaid ya kuangalia status za watu labda wachqlache san hawazidi at 5 ili suala la status kila siku nagomban na wife anatak nimuweke status kwa lazima huwa anafikia hatua mpk anasema simpendi kisa simuweki status 😂 kuna kipindi alikua anavizia nimelala anachukua cm yng na kujipost kwa status yng 😂 nikaona huu ujinga nikaifutilia mbali app ya whtsp ivi leo anaenda harusin kwa shoga yake uko tangu jana wimbo ni uwo tu anambia "kwa atakavyopendez leo nisipomuweka status tutagombana" 😀 simuweki nasubir tuje tugombane😁
Sorry mkuu, nadhani hio ya mkeo na watu wa dizaini hio inakua Ni 'mental retardation Case'.
 
Wengine wana view kwa Siri Kama hujui Ndio nakwambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua.. ila yule najua ana Iphone
Na iPhone haisupport hizo un official wasap…


Na angeweka read receipt pia ningejua ktk meseji..

Haya jibu upya comment yangu
 
Watu tunatumia status kupost what we do, wauza magari, wauza viatu, wauza nguo, wenye maduka etc, so ni upuuzi kusema status ni ya watu wasiojielewa.
 
Me siweki status labda siku moja moja kwel yaan na wala cn kawaid ya kuangalia status za watu labda wachache san hawazidi at 5 ili suala la status kila siku nagomban na wife anatak nimuweke status kwa lazima huwa anafikia hatua mpk anasema simpendi kisa simuweki status [emoji23] kuna kipindi alikua anavizia nimelala anachukua cm yng na kujipost kwa status yng [emoji23] nikaona huu ujinga nikaifutilia mbali app ya whtsp ivi leo anaenda harusin kwa shoga yake uko tangu jana wimbo ni uwo tu anambia "kwa atakavyopendez leo nisipomuweka status tutagombana" [emoji3] simuweki nasubir tuje tugombane[emoji16]
Wewe ni muongo
 
Sorry mkuu, nadhani hio ya mkeo na watu wa dizaini hio inakua Ni 'mental retardation Case'.
Nakubali mkuu maana imefikia hatua ata anunue chochot kwa hela yake ataweka status na kunishukur me mume kama ndo nimemnunulia vile utasikia "Asante mume wng kwa zawadi hii" 😂 mawifi wakiona inakua jau coz uku unakuta nishaombwa hela na kwa mda uwo inakua sinayo bc inakua kama naonekan stak tu kutoa iyo hela 😂
 
Back
Top Bottom