Kuweka bandari kavu chuo kishirikishi cha Dar es salaam (DUCE) ni kukishusha hadhi chuo

Kuweka bandari kavu chuo kishirikishi cha Dar es salaam (DUCE) ni kukishusha hadhi chuo

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Toka ianzishwe ile bandari kavu chuoni pale chuo hakina muonekano mzuri ni vumbi kila mahali kuanzia benki ya NBC, dispensary na mageti yote ya upande wa barabara ya kuelekea Mkapa stadium

Kwa maoni yangu haikuwa sahihi kuweka bandari kavu karibu na chuo kikibwa kama kile muda wote malori ya makontena getini uongozi ungeliangalia upya suala hili
 
Back
Top Bottom