Scrum Master
JF-Expert Member
- Apr 28, 2021
- 243
- 424
Naona inapendeza sana mlango wa mbao wa mbele bila grill. Kwa ambao mna uzoefu wa aina hiyo ya mlango mnanishauri nini. Kiusalama ikoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Make sure u have a tight security then enjoy the show. Au nasema uongo ndugu zangu?Naona inapendeza sana mlango wa mbao wa mbele bila grill. Kwa ambao mna uzoefu wa aina hiyo ya mlango mnanishauri nini. Kiusalama ikoje??View attachment 2313105
GRILL inaongeza usalama mkuuNaona inapendeza sana mlango wa mbao wa mbele bila grill. Kwa ambao mna uzoefu wa aina hiyo ya mlango mnanishauri nini. Kiusalama ikoje?
View attachment 2313105
Kiukweli sipendi grill basi tu.Nenda kwa mafundi tenengeza mlango kwa mbao strong, ukiweza chomeka nondo katikati ya mbao zako zinazo tengeneza huo mlango kisha weka kitasa kinachofunga sehem tatu Yaan juu chini na katikati. Ukishafanya hivyo wala huitaji grili. Nipo najenga nyumba yangu sasaiv wala sina mpango wa kuweka grili. Grili ni ujinga tu kila Nyumba Ina grili mambo ya kuiagana tu.
Weka grill kwa ndani then nje acha mlango wako wa mbaoNaona inapendeza sana mlango wa mbao wa mbele bila grill. Kwa ambao mna uzoefu wa aina hiyo ya mlango mnanishauri nini. Kiusalama ikoje?
View attachment 2313105
Naona inapendeza sana mlango wa mbao wa mbele bila grill. Kwa ambao mna uzoefu wa aina hiyo ya mlango mnanishauri nini. Kiusalama ikoje?
View attachment 2313105
This is Tanzaniaaaaaaaaaaaaaa-BugattiWhen Push comes to Shove hata ukuta mtu anabomoa..., labda kumchelewesha kibaka (lakini CCTV, Alarm n.k. bado inaweza ikakustua ukamsikia kibaka)
Tunakoelekea cash ni digital...., TV na Radio, fridge na jiko Used sio market kivile hata mtu akiingia ndani aibe nini..., Ndio maana nchi kama UK hata madirisha ni Double Grazing tu (Vioo) hakuna hata nondo..., ukiingia utaiba nini Wall Paper ?, Labda kwenye nyumba ya kina Salah au Ronaldo ndio utakua designers stuffs ili uibe, nyingine ni kujichosha tu bora uende sunday market ukatafute bargains...
Daah hii sijawahi waza wala kuiona mahali iko implemented. But ni sawa maana kwenye madirisha tunaweka grill ndani then vioo nje.Weka grill kwa ndani then nje acha mlango wako wa mbao
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app