Kuweka mlango wa mbao wa mbele bila kuweka mlango wa grill ikoje kiusalama?

Kuweka mlango wa mbao wa mbele bila kuweka mlango wa grill ikoje kiusalama?

Sema design nzuri ya grill inapendeza but it all comes to what you love.
Mimi nimeweka grill kwanza design ninayoipenda then ndo nije niweke wa mbao kwa ndani naona kama inapendeza na inakuwa na usalama zaidi.View attachment 2332404View attachment 2332405


Nilikuja kuamua kuweka hii
Screenshot_20220901-161300_Gallery.jpg
 
Kuweka magril ni ushamba tu wez wenyewe siku hizi wanajua majumbani amna hela sanasana wanaoiba majumbani ni vibaka
Mimi kwangu sijaweka gril huu mwaka wa 7
mkuu mganga wako ni yupi maana sio kwa kujihakikishia usalama kiasi hiko.........
 
Back
Top Bottom