Kuweka mlango wa mbao wa mbele bila kuweka mlango wa grill ikoje kiusalama?

Kuweka mlango wa mbao wa mbele bila kuweka mlango wa grill ikoje kiusalama?

Weka grill ndan.. ndo tunavyofanya skuhiz.. ukiweka nje grill inaharib show.. weka ndan.. tafuta fund mzur a design ndan.. bongo usalama muhimu kuna mashetan yana njaa sana na hayana huruma. Kukivumjia mlamgo ni rahis
Naweza pata picha nione namna inavyofanana?
 
Utoe kabisa weka playwood paka vanish sending siler changanya na clear iki uonekane flash door ,
Faida zake ;ni bei rahisi,siku ukipoteza funguo unavunja kwa bisibis, usiju ukiwa umelala mtu akiugusa tuu unatoa mlio kukualati kuwa kuna adui.
Onyo:ukishauweka hakikisha ndani huweki vitu vya gharama ili kuepuka mchwa
Punguza masihara.
 
Sema design nzuri ya grill inapendeza but it all comes to what you love.
Mimi nimeweka grill kwanza design ninayoipenda then ndo nije niweke wa mbao kwa ndani naona kama inapendeza na inakuwa na usalama zaidi.View attachment 2332404
IMG_20220729_091906.jpg
 
Nenda kwa mafundi tenengeza mlango kwa mbao strong, ukiweza chomeka nondo katikati ya mbao zako zinazo tengeneza huo mlango kisha weka kitasa kinachofunga sehem tatu Yaan juu chini na katikati. Ukishafanya hivyo wala huitaji grili. Nipo najenga nyumba yangu sasaiv wala sina mpango wa kuweka grili. Grili ni ujinga tu kila Nyumba Ina grili mambo ya kuiagana tu.
Wataalamu wanaita strong doors, ukiachana na ubora wake, siku hizi ni habari ya mjini! Kwa wanaopenda mambo mazuri
 
Kuna milango niliona inatengenezwa Kariakoo gerezani.
Ndani inakuwa alminium ngumu na frame za mlango ni aluminum ngumu. Sikumbuki kama katikati wanaweka nondo ila wakimaliza wanaupaka rangi unaonekana kama mbao.
Akija kaka jambazi lazima atoe hewa wakati anahangaika kuuvunja na mwisho ataenda lalama mbele ya safari yule mwenyenyumba mchawi....![emoji28][emoji28]

View attachment 2319159View attachment 2319160

Sample.

Naomba contact za huyo fundi kama unazo.
 
Mkuu Naweza pata contact za hawa jamaa walipo
 
Back
Top Bottom