Kuweka mlango wa mbao wa mbele bila kuweka mlango wa grill ikoje kiusalama?

Weka grill ndan.. ndo tunavyofanya skuhiz.. ukiweka nje grill inaharib show.. weka ndan.. tafuta fund mzur a design ndan.. bongo usalama muhimu kuna mashetan yana njaa sana na hayana huruma. Kukivumjia mlamgo ni rahis
Naweza pata picha nione namna inavyofanana?
 
Punguza masihara.
 
Wataalamu wanaita strong doors, ukiachana na ubora wake, siku hizi ni habari ya mjini! Kwa wanaopenda mambo mazuri
 

Naomba contact za huyo fundi kama unazo.
 
Mkuu Naweza pata contact za hawa jamaa walipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…