KERO Kuweka Smart Lock kwenye Magorofa ya TBA Magomeni Kota ili kufunga milango kodi inapoisha ni ukatili kwa wapangaji

KERO Kuweka Smart Lock kwenye Magorofa ya TBA Magomeni Kota ili kufunga milango kodi inapoisha ni ukatili kwa wapangaji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Kwamba hizo Smart Lock zitajifunga kama hujalipa kodi, maswali ni mengi kuliko majibu.

Hivi likijifunga na watoto wako ndani inakuaje majanga yakitojea mfano ya moto?

Network ikizingua control namba ikawa inasumbua itakuaje?

Hata kama zitakupa alarm kodi ikikaribia kuisha ila huu ni ukatili, chama cha kumlinda mlaji kinatakiwa kuingilia kati.

Nawasilisha.👇👇

 
Kwamba hizo Smart Lock zitajifunga kama hujalipa Kodi , maswali ni mengi kuliko majibu.

Hivi Likijifunga na Watoto wako ndani inakuaje?

Network ikizingua control namba ikawa inasumbua itakuaje?

Hata kama zitakupa alarm Kodi ikikaribia kuisha ila huu ni ukatili ,chama Cha kumlinda mlaji kinatakiwa kuingilia kati.

Nawasilisha.👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C9y76AmC81t/?igsh=MWd1azV3NmJ4ZHU1Zg==

Tuna unlock kirahisi sana, hilo siyo tatizo, waende kwenye ticket scanner za Udart waone kama zinafanya kazi vituoni.
 
Back
Top Bottom