ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Tuna unlock kirahisi sana, hilo siyo tatizo, waende kwenye ticket scanner za Udart waone kama zinafanya kazi vituoni.Kwamba hizo Smart Lock zitajifunga kama hujalipa Kodi , maswali ni mengi kuliko majibu.
Hivi Likijifunga na Watoto wako ndani inakuaje?
Network ikizingua control namba ikawa inasumbua itakuaje?
Hata kama zitakupa alarm Kodi ikikaribia kuisha ila huu ni ukatili ,chama Cha kumlinda mlaji kinatakiwa kuingilia kati.
Nawasilisha.👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C9y76AmC81t/?igsh=MWd1azV3NmJ4ZHU1Zg==
Ndio mpaka uwe mtunduTuna unlock kirahisi sana, hilo siyo tatizo, waende kwenye ticket scanner za Udart waone kama zinafanya kazi vituoni.
Ulaya ya wapi nyumba zinajifunga?Mbongo bila kumcontrol hautoweza mbona hata ulaya hii ipo
Vipato tofauti ulaya na magomeni...Mbongo bila kumcontrol hautoweza mbona hata ulaya hii ipo
Lengo siyo makusanyo, lengo ni procurement purchase, kuna watu hapo wana tako la nyani kwa hiyo purchase.Mimi naona ni sawa tu. Kwakua ni under TBA basi hio ndio namna nzuri ya kuhakikisha makusanyo. Labda kama ingekua ni mtu binafsi
Hapo kuna watu wanachekechwa kimtindo 😄Ulaya ya wapi nyumba zinajifunga?
Wala hakuna haja ya mashoka, kama wanachakachuliwa Dstv mpaka Netflix ndio sembuse hawa maboya.Kwani mashoka yameisha bongo
Lengo ni kuwaondoa hao wapangaji ili waingize watu wao sasa.Hapo kuna watu wanachekechwa kimtindo 😄
Ova
Kuna smart lock ila sasa hawa wameenda mbali huu ni ujingaWala hakuna haja ya mashoka, kama wanachakachuliwa Dstv mpaka Netflix ndio sembuse hawa maboya.