Kuwekea simu protector na makava ni umaskini

Kuwekea simu protector na makava ni umaskini

jamaa lina mawazo ya kikuda,kwahiyo wewe una akili kuliko waliotengeneza hizo mambo
 
mtoa mada ndo nyie mnatuigizia maisha unanunua iphone charge ikiharibika unakimbilia kuuza kasimu kako..
 
Hivi ukiacha watumiaji wa Iphone na wale jamaa wanaokaaga Counter ya Tips huko bongo.... Ni watu gani tena wanajionaga wamepatia maisha??
IMG-20190827-WA0037.jpeg

Cc Dinazarde
 
Huu ni ukweli covers na protectors ni umasikini tu kwa sababu inapunguza efficiency na ile testa ya direct touch kwa kioo pia covers zinafanya simu zina heat up na kustuck stuck.
 
Raha sana ukiwa na dabo bando plus charge ya simu inasoma 97% ugoro wa namna hii lazima ukujie Maana uhakika wa kua online upo
 
Umasikini sio kabila sio dini sio ukoo. Umasikini ni hali yeyote anaweza akapitia.
 
post imewasilishwa vibaya kweli kweli, hapo na mimi sipendi ma-cover wala protector kwenye simu, huwa naona ni aina ya ushamba mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom