Kuwekeza Afrika na kufanya biashara si kazi rahisi

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,468
Reaction score
32,167
Wewe imagine anachopitia Sunderland kwa sasa? Mkataba kaingia na TFF wizara ikiwa anaongozwa na waziri aliyepita. Wamesign mkataba wa miaka 5 mbele ya makamera.

Mchakato wa kutengeneza jezi unajulikana mtengenezaji hawezi kufyatua jezi bila kuwatumia mockup au hata sample TFF.

Naibu waziri kashiriki uzinduzi. Halafu waziri mpya anasema haina ubora na isiuzwe. Imagine yote haya yamefanyika kwa makaratasi ya kimkataba, ila ukiingia hasara shauri yako.

Nawaza mie ndiye nimekopa nikapata tenda nitoe huduma halafu kiongozi anaamka siku hiyo anasema hakuipenda tu. Mtu unaweza kufa kwa presha haki.

Soma Pia:

Juzi nilikuwa insta nasoma post watu wanatoa ushuhuda tenda za serikali hasa halmashauri zilivyowatia hasara.
 
Mkuu wala usipoteze muda wako hizo ni Futuhiii zao
 
Back
Top Bottom