Third eye judge
Senior Member
- Aug 9, 2016
- 141
- 124
Habari wakuu,
Katika harakati za kujikwamua kiuchumi zipo njia mbalimbali ambazo mtu anaweza kuzitumia ili kufikia malengo. Yaweza kuwa kwa kutumia jitihahad kubwa au kwa kwa kutumia maarifa ya kawaida kabisa bila kutumia nguvu nyingi.
Sasa Basi,, Kuna rafikizangu wa karibu zaidi ya wawili wameshawahi kuniuzia wazo la kuwekeza fedha kwao, waziingize kwenye mzunguko wao wa kibiashara na Kisha wawe wananilipa riba ya kiasi Fulani kila mwisho wa mwezi.
Mmoja kati yao yeye biashara yake ina mtaji wa kiasi Cha sh 15,000,000/= aliwahi niambia nikiweza kumpatia kiasi Cha sh: 7000,000/= anaweza kunilipa kwa mwezi sh 350,000/= Hadi sh 400,000/=.
Yaani nakuwa nachukua riba ya sh 350,000/= Hadi 400,000/= kila mwisho wa mwezi na hela yangu niliyowekeza kwake 7000,000/= naweza kuichukuwa muda wowote. Yaani inakuwa nikama nimeihifadhi tu mahali muda wowote naweza kuichukuwa.
Wazoefu kwenye hili wanaweza kutoa mwongozo zaidi.
Na je kwa riba hio inalipa ?