Kuwekeza fedha kwa riba

Kuwekeza fedha kwa riba

Third eye judge

Senior Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
141
Reaction score
124
Habari wakuu,

Katika harakati za kujikwamua kiuchumi zipo njia mbalimbali ambazo mtu anaweza kuzitumia ili kufikia malengo. Yaweza kuwa kwa kutumia jitihahad kubwa au kwa kwa kutumia maarifa ya kawaida kabisa bila kutumia nguvu nyingi.

Sasa Basi,, Kuna rafikizangu wa karibu zaidi ya wawili wameshawahi kuniuzia wazo la kuwekeza fedha kwao, waziingize kwenye mzunguko wao wa kibiashara na Kisha wawe wananilipa riba ya kiasi Fulani kila mwisho wa mwezi.

Mmoja kati yao yeye biashara yake ina mtaji wa kiasi Cha sh 15,000,000/= aliwahi niambia nikiweza kumpatia kiasi Cha sh: 7000,000/= anaweza kunilipa kwa mwezi sh 350,000/= Hadi sh 400,000/=.

Yaani nakuwa nachukua riba ya sh 350,000/= Hadi 400,000/= kila mwisho wa mwezi na hela yangu niliyowekeza kwake 7000,000/= naweza kuichukuwa muda wowote. Yaani inakuwa nikama nimeihifadhi tu mahali muda wowote naweza kuichukuwa.

Wazoefu kwenye hili wanaweza kutoa mwongozo zaidi.
Na je kwa riba hio inalipa ?
 
Habari wakuu,,

Nakuomba uache. Kama Wana ubavu wachukue benki. Inaonekana wewe unafanya kazi so hela unajaza kwenye akaunti zinajaa Mana umebanwa na kazi huwezi panda farasi wawili na rafiki zako wanalijua Ilo so wanakutamanisha.
Waulize kuhusu insurance ya pesa zako. Ujue sie tunarudishana nyuma na ndugu na marafiki wa karibu mno ambao huwezi amini. Usitumie uaminifu Mana huwezi badilisha na bidhaa na mtu na uaminifu wako.

Mie Ni mfano mzuri nimerudishwa nyuma na watu wangu wa karibu.
Na hii watu wengi wanalia mno sema mie namsukuma ndugu was karibu ili ajikwamue kimtaji baadaye unakuta ulilotarajia halipo. Hela huwa zinaleta uhasama Bali hela haijengi urafiki ama kudumisha uhusiano.

Kama anakuamini anaweza akamuachia mkeo mkalala rumu moja Mana mnaaminiana. Please be brutal with your money. Money is the oxygen to busine/you as oxygen to your life.

Cha kukushauri Kama unazo hela hata ukifungua biashara uwekemo mtu Ni Dana Dana kwenda mbele labda mkeo. Yaani watu nikuambie Ni masikini sio kwa bahati mbaya Kuna sababu namaanisha umasikini uliopo kwa watu Kuna sababu sio bure tu umewatokea.

Kama unazo hela nunua shamba,viwanja ama Jenga loji Ila jitahidi ununue vyenye hati ama ujihakikishie kabisa. Mana land value hata haouse value inakua.

Naomba umpatie baadaye uje hapa after 5yrs unipe mrejesho mkuu.

Hela Ni emotional commodity Kama yaani binadamu akishaambiwa hela kichwa chake kinaruka kutumia rational brain to irrational brain.

Hii irrational brain ndio inayofanya kazi ukiona paja,titi,shingo,takooo la ke unayempenda niambie hapo unakuwa unayo akili.akiamua kukurembulia akakunyeza niambie mnara hujasoma ikashuka hatamu ya maisha yako.

Irrational brain inafanya kazi pale mtu anapoona chakula kizuri kitamu kinachomtoa mate like kuku choma,samaki choma na michemsho yao hivyo mie huwa vinanitoaga ubongo sema kama Sina hela naondoa maawazo na siendi vinapopatikana Mana nitajiumiza.

Hela narudia kusema kuwa Ni emotional commodity watu tunafanya irrational decisions money is online.
Na ndio Mana Ni watu wachache wanaweza Waka play the game of money Mana wengi zinawatawala.
Waambie kuwa umepata wazo la kujenga ama kununua shamba Kijijini kwenu. Wakwepe kijanja mno na pia na wewe ongea kiasi kwamba uonekane huna hela ama sema tu hata umezuiwa hela zako na serikali wamezikomba, hakuna urafiki kwenye hela. Yaani Ni sawa namie niwe karibu na mkeo na wewe uwe karibu na mke wangu. Kama Ilo linawezekana kwenye ke Basi na kwenye hela litawezekana.

Mkuu nimeandika kwa uchungu mno Mana Naona unaenda kulia mbeleni.

Jiulize why banks hawakupi hela bila ya kujihakikishia hela zao Zina usalama.

Haya wakapata hasara kwenye biashara zao how will you get money,wakifa,ajali ya Moto biashara zao zikaungu how will you get your money,wakiibiwa.

Ama wewe Ni risk taker
 
Wamejuaje kama una hizo pesa?. Huwa unawasimulia kila uwekapo salio kwenye account zako.

400,000/7,000,000 = 0.057X100 = 5.7%

Kwa milioni saba yako mtu akupe faida ya asilimia 5+ kila mwezi bila kufanya kazi yoyote mnaaminiana vipi kwenye pesa?, kama hauendi kupigwa basi una marafiki wa uhakika.

Pia kwa mwaka ni 5.7X12 = 68.6% ina maana ndani ya miaka miwili unakua umerudisha pesa yako(137%) huku mtaji unao na unaweza kutoa muda wowote ukitaka, kitu ambacho hata bank wala mifuko ya UTT au government bond hawafanyi.

Shituka mapema, mwambie akachukue mkopo maana akichukua mkopo wa 7M anaweza urudisha ndani ya miezi 18 tu kwanini aitake pesa yako?. Ambayo itakua hasara kwake tofauti na akichukua mkopo, kwamba anakupenda sana safari njema mpambanaji.
 
Nimejifunza kitu mkuu kwenye andiko hili.[emoji120]
 
Asante mkuu, ila Bado sijafika kuridhiana nae, Najitahidi Sana kuwa na tahadhari kubwa kabla ya kuwekeza fedha mahali popote ndio maana pia nimeona nishirikishe Hapa kabla ya kuamua loloote.
Kama una wasiwasi basi usiweke, wasiwasi ndo akili mkuu.

Ninge ninge huja sana kama ulikua na hofu na umetia mzigo kimawenge.
 
Wamejuaje kama una hizo pesa?. Huwa unawasimulia kila uwekapo salio kwenye account zako.

400,000/7,000,000 = 0.057X100 = 5.7%

Kwa milioni saba yako mtu akupe faida ya asilimia 5+ kila mwezi bila kufanya kazi yoyote mnaaminiana vipi kwenye pesa?, kama hauendi kupigwa basi una marafiki wa uhakika.

Pia kwa mwaka ni 5.7X12 = 68.6% ina maana ndani ya miaka miwili unakua umerudisha pesa yako(137%) huku mtaji unao na unaweza kutoa muda wowote ukitaka, kitu ambacho hata bank wala mifuko ya UTT au government bond hawafanyi.

Shituka mapema, mwambie akachukue mkopo maana akichukua mkopo wa 7M anaweza urudisha ndani ya miezi 18 tu kwanini aitake pesa yako?. Ambayo itakua hasara kwake tofauti na akichukua mkopo, kwamba anakupenda sana safari njema mpambanaji.
Watu wanajua tu mkuu,, ushauri mzuri Sana.
 
Ni wazo zuri ila kwa jambo moja tu
Kuna silent partner katika biashara ambae hafanyi hiyo biashara bali ana finance tu

Ila inatakiwa uwe partner wake kwenye biashara na muandikiane na wewe uwe na asilimia kadhaa hata kama 20% ili kila unapoongeza mtaji unaongeza na shares

Andikishana nae na mfungue account pamoja au company account

Ila ule ujinga wa kusema namuamini acha kabisa
Hakuna Imani kwenye hela bali fitna
 
Wazo la kitaalam sana. Nashukuru mkuu.,[emoji120]
 
Ni wazo zuri ila kwa jambo moja tu
Kuna silent partner katika biashara ambae hafanyi hiyo biashara bali ana finance tu

Ila inatakiwa uwe partner wake kwenye biashara na muandikiane na wewe uwe na asilimia kadhaa hata kama 20% ili kila unapoongeza mtaji unaongeza na shares

Andikishana nae na mfungue account pamoja au company account

Ila ule ujinga wa kusema namuamini acha kabisa
Hakuna Imani kwenye hela bali fitna
Kwa wako lako tayari Ni kampuni sasa
 
Habari wakuu,,

Katika harakati za kujikwamua kiuchumi zipo njia mbalimbali ambazo mtu anaweza kuzitumia ili kufikia malengo. Yaweza kuwa kwa kutumia jitihahad kubwa au kwa kwa kutumia maarifa ya kawaida kabisa bila kutumia nguvu nyingi.

Sasa Basi,, Kuna rafikizangu wa karibu zaidi ya wawili wameshawahi kuniuzia wazo la kuwekeza fedha kwao, waziingize kwenye mzunguko wao wa kibiashara na Kisha wawe wananilipa riba ya kiasi Fulani kila mwisho wa mwezi.

Mmoja kati yao yeye biashara yake ina mtaji wa kiasi Cha sh 15,000,000/= aliwahi niambia nikiweza kumpatia kiasi Cha sh: 7000,000/= anaweza kunilipa kwa mwezi sh 350,000/= Hadi sh 400,000/=.

Yaani nakuwa nachukua riba ya sh 350,000/= Hadi 400,000/= kila mwisho wa mwezi na hela yangu niliyowekeza kwake 7000,000/= naweza kuichukuwa muda wowote. Yaani inakuwa nikama nimeihifadhi tu mahali muda wowote naweza kuichukuwa.

Wazoefu kwenye hili wanaweza kutoa mwongozo zaidi.
Na je kwa riba hio inalipa ?
Akishindwa kukulipa huwezi ukamshtaki popote maana hana leseni ya kuendesha shughuli za kifedha-kukopesha kwa riba. Sheria inaweza ikakutia hatiani wewe.....urafiki wenu uwe kwa mambo mengine si kwa kukopeshana kwa riba.
 
Back
Top Bottom