Brightburn
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 348
- 688
Njoo weka hiyo pesa kwenye biashara ya mbuzi, pata 5% yako bila shaka!Habarini WanaJF.
Naomba mwenye best way ya kuinvest money na KUPATA hata 5% of it per month anisaidie maana nilijaribu kuweka tigo pesa kibubu tsh 300,000 TATU na KUPATA gawio la tsh 600 kwa mwezi.
View attachment 2988174