Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Kwa makampuni ya kibiashara ambao mlifikiria kumpa ubalozi Wema Sepetu futeni hilo wazo mara moja .
Wema watanzania walikuwa wanampenda sana mpaka wakambatiza jina la Tanzania Sweetheart , fan pages nyingi zilifunguliwa kwa ajili yake. Ili kumshambulia Wema Sepetu ilipaswa ujipange haswa la sivyo mitandao haswa insta utaiona chungu.
Ila ghafla huyu bibie umaarufu umeshuka kila kukicha idadi ya watu wasiompenda wanaongezeka, ninaweza kusema Wema ndiye mtu maarufu anayetukanwa zaidi mitandaoni kwa sasa na ndiye mtu anayechukiwa zaidi kwa sasa kutokana na yeye kujihusisha na Samia moja kwa moja na kutoa maneno ya hovyo kwa wananchi.
Followers wa Wema wanapukutika kila kukicha, alikuwa na Followers zaidi ya 13M kwa sasa wamebaki 11M na wanapungua kila kukicha.
Hii inathibitisha nguvu ya ushawishi kwa sasa hana hivyo kuwekeza pesa kwake ni kujitafutia hasara wewe mwenyewe.
Natoa wito kwa makampuni yote mliowaza kuweka pesa kwake mjifikirie mara mbilimbili , bidhaa zenu sio tu zitakosa wateja, bali hata wale wateja mliokuwa nao pia watawakimbia /watasusia bidhaa zenu.