Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
- Thread starter
- #21
Tumia akili kidogo.Kwa kuangalia hiyo graph uliyochora na data ulizoweka inaonesha kabisa wewe ni muhanga wa hesabu au niseme; Ulipata Alama sifuri kwenye Hesabu.....
Kama hizo data zako ni sahihi, wala haonesho kuwa mbaya; hiyo ni ups and down ya kawaida.
namaanisha kutoka 12m viewers to 11.9m inamaana ameshuka kwa 0.1 ambayo ni kawaida sana
Hiyo 12M ilikuwa November 15 kabla ya hapo alikuwa na followers zaidi ya hapo.
Mfano tukija January tutaanzia 11M mpaka followers atakaokuwa nao kipindi hicho, hivyo haimaanishi alikuwa na 11M followers bali zaidi ya hapo ila wanapungua kila kukicha.