Kuwekeza kwa Wema Sepetu kibiashara kama balozi utaingia hasara kubwa haijawahi kutokea. Nimeambatanisha graph

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Kwa makampuni ya kibiashara ambao mlifikiria kumpa ubalozi Wema Sepetu futeni hilo wazo mara moja .

Wema watanzania walikuwa wanampenda sana mpaka wakambatiza jina la Tanzania Sweetheart , fan pages nyingi zilifunguliwa kwa ajili yake. Ili kumshambulia Wema Sepetu ilipaswa ujipange haswa la sivyo mitandao haswa insta utaiona chungu.

Ila ghafla huyu bibie umaarufu umeshuka kila kukicha idadi ya watu wasiompenda wanaongezeka, ninaweza kusema Wema ndiye mtu maarufu anayetukanwa zaidi mitandaoni kwa sasa na ndiye mtu anayechukiwa zaidi kwa sasa kutokana na yeye kujihusisha na Samia moja kwa moja na kutoa maneno ya hovyo kwa wananchi.

Followers wa Wema wanapukutika kila kukicha, alikuwa na Followers zaidi ya 13M kwa sasa wamebaki 11M na wanapungua kila kukicha.

Hii inathibitisha nguvu ya ushawishi kwa sasa hana hivyo kuwekeza pesa kwake ni kujitafutia hasara wewe mwenyewe.

Natoa wito kwa makampuni yote mliowaza kuweka pesa kwake mjifikirie mara mbilimbili , bidhaa zenu sio tu zitakosa wateja, bali hata wale wateja mliokuwa nao pia watawakimbia /watasusia bidhaa zenu.

 
Huyo DOGO , ukimwi ndo unamsubuaga zile dawa zinapoteza akili

Fatilia watu wenye ngoma utaaamini nachokuambia

Hata yule MC aliyekufa juzi ngoma ilikuwa inamsumbua na sio stress za mapenzi
Nakubaliana na wewe.
 
Huyo DOGO , ukimwi ndo unamsubuaga zile dawa zinapoteza akili

Fatilia watu wenye ngoma utaaamini nachokuambia

Hata yule MC aliyekufa juzi ngoma ilikuwa inamsumbua na sio stress za mapenzi
Kazi kweli kweli..
 
Kwa kuangalia hiyo graph uliyochora na data ulizoweka inaonesha kabisa wewe ni muhanga wa hesabu au niseme; Ulipata Alama sifuri kwenye Hesabu.....
Kama hizo data zako ni sahihi, wala haonesho kuwa mbaya; hiyo ni ups and down ya kawaida.
namaanisha kutoka 12m viewers to 11.9m inamaana ameshuka kwa 0.1 ambayo ni kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…