Kuwekeza kwa Wema Sepetu kibiashara kama balozi utaingia hasara kubwa haijawahi kutokea. Nimeambatanisha graph

Tumia akili kidogo.

Hiyo 12M ilikuwa November 15 kabla ya hapo alikuwa na followers zaidi ya hapo.

Mfano tukija January tutaanzia 11M mpaka followers atakaokuwa nao kipindi hicho, hivyo haimaanishi alikuwa na 11M followers bali zaidi ya hapo ila wanapungua kila kukicha.
 
Aliyeharibu Maisha ya Wema alikuwa Mange Kimambi .

Kitendo cha kumpa Spotlight huyu dogo at the age of 16

Ndo kimepelekea yeye kupata Ukimwi , kuwa mvuta bangi na mlevi .
 
Ni mfanyabiashara wa kweli anaweza kuwekeza kwenye kinyago?
 
Aliyeharibu Maisha ya Wema alikuwa Mange Kimambi .

Kitendo cha kumpa Spotlight huyu dogo at the age of 16

Ndo kimepelekea yeye kupata Ukimwi , kuwa mvuta bangi na mlevi .
Sio kweli.

Wema alianza kupata jina tangu aliposhinda miss Tz maana kipindi hicho ilikuwa inafuatiliwa sana tofauti na miaka ya hivi karibuni.

Pia kipindi hiko kuna mapedeshee au wasanii walikuwa wanaona ujiko kutoka na miss TZ , ndio maana Wema baada ya kushinda tu hilo taji, tukaanza kusikia mara leo yupo na TID, kesho kwa Kanumba, mara Charles baba, Clement, Idriss Sultan, nk


Mange hausiki hata kidogo kumtafutia ugali Wema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…