kuwekeza nguvu nyingi kwa mwanamke ni wastage of time

kuwekeza nguvu nyingi kwa mwanamke ni wastage of time

1)NDOA ni makubaliano ya HIYARI kati ya mwanaume na mwanamke.(KWELI)

2)NDOA zinafilisi wanaume???(SI KWELI) sio kwa wote GENERAL

huwezi ku generalize kwa ndoa zote.
Kuna NDOA zimewainua watu kiuchumi wakafanikiwa na wanazidi kufanikiwa.

Kuna wanawake ndio wanabeba familia wana changia uchumi wa familia tena wakati mwingine sawa au zaidi ya wanaume zao na hata mchango wa mawazo ushauri mzuri.

Kuna baadhi ya wanaume ndio wanachangia kuwafilisi wake zao

CONCLUSION INAYOFUATA
Kataa ndoa(SI KWELI)
Wanaokataa ndoa WASISHAWISHI WENGINE wanaotaka kuoa wasioe.Another man poison is another man food.Kila mwanaume atapata mwanamke wa kufanana naye na wa kuendana naye .Mungu awasaidie wanaotaka kuoana wapate wenza sahihi wa kuendana nao.Pia wamtangulize Mungu waombee ndoa zao na wenza wao,ndoa ni ibada.
 
Wanaume kuna muda maisha yetu tunayarisk sana kwa wanawake,,

Naweza kusema moja kati ya risk kubwa katika maisha yetu vijana ni kujikoki kuoa.

Ndoa saivi zinafilisi sana maisha yetu.
Kweli kabisa wanawake sio wa kuwaamini na kuwekeza muda na hisia zako watakuangusha tu
 
Mi Binafsi yangu, Sikubariani Kabisa na Ndoa au Mapenzi ktk Jambo la kijinga ni Kumpenda mwanamke, Nikupoteza Endapo utawekeza Akili + Pesa na Mali kwa mwanamke, Hawaviumbe ni waajabu sana, zaidi ya ufikiliavyo, unaweza ukamkamjari akukona una kazi ya kufanya, unaweza usimjari na akikuona WA maana sana kwake.
 
Wanaume kuna muda maisha yetu tunayarisk sana kwa wanawake,,

Naweza kusema moja kati ya risk kubwa katika maisha yetu vijana ni kujikoki kuoa.

Ndoa saivi zinafilisi sana maisha yetu.
20241221_161538.jpg
 
HII FALSAFA YA KATAA NDOA IKIENDELEA HIVI,MIAKA IJAYO maisha ya vijana wa miaka ijayo..watakuwa wanaishi KIHUNI(bila ndoa )na watoto watalelewa katika mazingira ??ni mbaya sana kwa kizazi kijacho
Ndomana Yesu akuoa aliona shida ya hawa Viumbe
Wanawake pasua Kichwa sana
 
Ndomana Yesu akuoa aliona shida ya hawa Viumbe
Wanawake pasua Kichwa sana
Ndomana Yesu akuoa aliona shida ya hawa Viumbe
Wanawake pasua Kichwa sana
1)Unazungumziaje wanaume masikini walio oa ambao hawana mali za kutapeliwa ndoa za masikini.?
2)unazungumziaje ndoa za wanaume walio oa wanawake wanaowazidi uwezo kiuchumi.
3)unazungumziaje ndoa za wacha Mungu wa kweli wana mcha Mungu katika roho na kweli.
JE UNAFIKIRI ni kweli kuwa wanawake wote hawana sifa za kuolewa,kwamba wanawake wote waliopo ni WAFILISI?inategemea na aina ya mwanamke uliyekutana naye,kama umekutana na mwanamke ambaye si wife material,haimaanishi the rest waliobakia pia wapo hivyo wote..
NA UKIWA na macho ya rohoni kipindi cha uchumba unaweza ukagundua kuwa huyu sio wa kuoa,kipindi cha uchumba tu.
Wanawake wacha Mungu wapo watoto wa Mungu,pia inategemea mnakutana wapi..ila Mungu anaweza kukupa mke sahihi wa kukufaa na kuendana naye.
 
1)Unazungumziaje wanaume masikini walio oa ambao hawana mali za kutapeliwa ndoa za masikini.?
2)unazungumziaje ndoa za wanaume walio oa wanawake wanaowazidi uwezo kiuchumi.
3)unazungumziaje ndoa za wacha Mungu wa kweli wana mcha Mungu katika roho na kweli.
JE UNAFIKIRI ni kweli kuwa wanawake wote hawana sifa za kuolewa,kwamba wanawake wote waliopo ni WAFILISI?inategemea na aina ya mwanamke,kama umekutana ma mwanamke ambaye si wife material,haimaanishi the rest wapo hivyo wote..
Mwanamke akua na mtu kwa kuitaji Faida tuuu.
Tazama watu Wengi ma Genius Hawakuoa Wala kua na mpenzi wanawake pasua Kichwa.
 
Mwanamke akua na mtu kwa kuitaji Faida tuuu.
Tazama watu Wengi ma Genius Hawakuoa Wala kua na mpenzi wanawake pasua Kichwa.
NDOA ina faida kwa wanandoa wote.Mwanaume na mwanamke wote wanataka faida na inawapa faida.ILA SIO HIYO YA KUFILISIANA.

Pia inafaa unapotaka kuoa uwe na maamuzi binafsi na sababu binafsi kwa akili yako timamu bila kushawishiwa na mazingira au watu.Kama hao unaosema majiniasi au mtu yeyote ambaye hajaoa asiwe kishawishi au sababu ya wewe kufanya maamuzi.Maana sabau zao na zako kuhusu kuoa au kutokuoa zinaweza zisiwe sawa.
Pia aina ya mwenza au ndoa yako na ya mwingine zinaweza zisifanane.Huwezi kutumia mifano kadhaa ya ndoa zilizofeli au kufanikiwa kuzungumzia ku judge ndoa zote duniani.KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE.
 
MWANAMKE aliumbwa kwa MWANAUME mwenye Akili pekee yake, kama mwanaume huna Akili kamwe huwezi KUISHI na kiumbe kinachoitwa mwanamke


Kuna tofauti kubwa kati ya mwanamke na msichana & MWANAUME na mvulana


NDOA ni taasisi Mama Hivyo inahitaji watu waliokamaa kiakili i.e watu wazima KIROHO na Sio kimwili Ndio hao wanaitwa WANA


NDOA si kwa mvulana au msichana i.e hawa ni watu ambao wapo beyond utoto kwa lugha nyepesi ni Zaidi ya WATOTO hapa NDOA haiwezi kuwepo kamwe na bahati mbaya Ndio watu waliojaa katika Dunia hi yaani DUNIA hi imejaa wavulana na wasichana Ndio maana taasisi ya NDOA inaonekana kama imeyumba ila haijayumba



NDOA hayajawahi kubadilika tangu MUNGU alipoiumba mwanzoni alipoumba MTU kwa sura na mfano wake, watu wowote wakifuata taratibu na kanuni ambazo MUNGU ameweka kuingia katika NDOA ataona thamani ya NDOA tofauti na hapo tegemea maumivu hakuna namna
 
Back
Top Bottom