nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Aisee.kama huna akili wala hela unataka kuwekeza nini?
Kweli kabisa wanawake sio wa kuwaamini na kuwekeza muda na hisia zako watakuangusha tuWanaume kuna muda maisha yetu tunayarisk sana kwa wanawake,,
Naweza kusema moja kati ya risk kubwa katika maisha yetu vijana ni kujikoki kuoa.
Ndoa saivi zinafilisi sana maisha yetu.
Wanaume kuna muda maisha yetu tunayarisk sana kwa wanawake,,
Naweza kusema moja kati ya risk kubwa katika maisha yetu vijana ni kujikoki kuoa.
Ndoa saivi zinafilisi sana maisha yetu.
Ndomana Yesu akuoa aliona shida ya hawa ViumbeHII FALSAFA YA KATAA NDOA IKIENDELEA HIVI,MIAKA IJAYO maisha ya vijana wa miaka ijayo..watakuwa wanaishi KIHUNI(bila ndoa )na watoto watalelewa katika mazingira ??ni mbaya sana kwa kizazi kijacho
Ndomana Yesu akuoa aliona shida ya hawa Viumbe
Wanawake pasua Kichwa sana
1)Unazungumziaje wanaume masikini walio oa ambao hawana mali za kutapeliwa ndoa za masikini.?Ndomana Yesu akuoa aliona shida ya hawa Viumbe
Wanawake pasua Kichwa sana
Mwanamke akua na mtu kwa kuitaji Faida tuuu.1)Unazungumziaje wanaume masikini walio oa ambao hawana mali za kutapeliwa ndoa za masikini.?
2)unazungumziaje ndoa za wanaume walio oa wanawake wanaowazidi uwezo kiuchumi.
3)unazungumziaje ndoa za wacha Mungu wa kweli wana mcha Mungu katika roho na kweli.
JE UNAFIKIRI ni kweli kuwa wanawake wote hawana sifa za kuolewa,kwamba wanawake wote waliopo ni WAFILISI?inategemea na aina ya mwanamke,kama umekutana ma mwanamke ambaye si wife material,haimaanishi the rest wapo hivyo wote..
NDOA ina faida kwa wanandoa wote.Mwanaume na mwanamke wote wanataka faida na inawapa faida.ILA SIO HIYO YA KUFILISIANA.Mwanamke akua na mtu kwa kuitaji Faida tuuu.
Tazama watu Wengi ma Genius Hawakuoa Wala kua na mpenzi wanawake pasua Kichwa.
WHEN YOU LOVE HER DESPITE OF HER DRINKING PROBLEM...