Kuwekeza Tsh 50,000/=

ndengere

Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
21
Reaction score
5
Habar wakuu.
chonde naomben msaada wa mawazo yenu(tafadhali) nina Tsh 50000 nashindwa niwekeze vipi niko mazingira ya town ila sina muda wa kufanya kiinshu kingine kwa mm mwenyewe kulingna na kazi ninayofanya.
naogopa kuipoteza kwani nimeipata kwa jasho sana.
Heshima kwenu
 
jaribu biashara ndogondogo kama uchuuzi,kibanda cha nyanya,vitunguu nk,uuzaji matunda pia
 
ni kweli unavosema, umeanza kunifumbua macho mkuu,
ahsante xana mkuu.
 
Biashara ya chakula inalipa sana mkuu kama una mahali pa kuuzia fanya hiyo biashara.

Faida yake kuu ina mzunguko mkubwa na faida yake inaonekana haraka.
 
Mkuu EVARM elfu 50 itaweza kutosha kwa mtaji wa chakula kwel.
wacwac yngu ka haitatosha vile.
ila mnanifumbua macho kwel wakuu wangu.
big up sana...
 
Katika kuwekeza kuna mambo makuu mawili:-
Muda na Mtaji.., wengi huwa wanaangalia mtaji tu lakini muda nao una nafasi yake kubwa sana.., sasa kama na muda pia hauna hii inaweza ikaleta shida kidogo

Ila kwa bahati kubwa nchi zinazoendelea labor cost ni ndogo sana.., ila tatizo la kumweka mtu akufanyie biashara yenye mtaji mdogo (mfano kuuza maji / barafu / uji /matunda au kusambaza chakula) ni rahisi sana huyo mtu baada ya kufanya kwa muda mfupi akakugeuka na yeye akaanza kufanya kile kile kwa wateja wale wale ukizingatia mtaji wake ni mdogo.., unless otherwise ni ndugu au mke wako.

Pia kama muda unao unaweza ukaanza biashara kwa mali kauli, kama wewe ni muaminifu unakwenda kwa mwenye mali unamwambia akupe mali na ukishauza ndio utamlipa. Au kwa watu wenye knowledge fulani kama mwalimu n.k. wanaweza kutengeneza study materials na kuziuza bila kuwa na kianzio cha pesa.

Hivyo basi utaona kwamba issue kubwa hapo huenda isiwe una kiasi gani cha pesa bali ni shughuli gani unaweza kuifanya na kwa kuwekeza muda wako kiasi gani. (Ukizingatia biashara za Bongo ni za kuigana igana na za msimu kwahio inahitaji sana ku-manage muda wako na kuuwekeza vizuri)
 
ni ushaur mzuri sana na wakueleweka mkuu hebu jalibu kuufanyia kaz huu
 

Wekeza na tigo.
 
Fanya hivi,tafuta soko na wateja mie nakuletea KUKU gharama ya usafiri juu yangu nakusaidia kama MTanzania mwenzangu,
Mkuu EVARM elfu 50 itaweza kutosha kwa mtaji wa chakula kwel.
wacwac yngu ka haitatosha vile.
ila mnanifumbua macho kwel wakuu wangu.
big up sana...
 
Ukipika kilo 4 za mchele maharage kilo 1 nyama kilo 1 mboga za majani za 5000 vitu vidogo ( nyanya vitunguu nk ) vya 10000 mkaa 3000. Pika kabisa nenda kituo cha daladala mchana utauza hutakosa faida ya 20_25. ikiwezekana tafuta mdada akusaidie ukimpa 5000 kwa siku sio mbaya
 

mkuu unajitahid kufikuria.... thanks Sana.
 
Unekuwa una muda wa kutosha na huogopi kuchafuka ningekushauri usome post za biasha 2000 kuhusu biashara ya mkaa
nawe ungeweza kuanza na mtaji wa hata TSH 5000/=
 
Unekuwa una muda wa kutosha na huogopi kuchafuka ningekushauri usome post za biasha 2000 kuhusu biashara ya mkaa
nawe ungeweza kuanza na mtaji wa hata TSH 5000/=

okeiiiiiiiii..........
 

Sio kwa sababu awareness kuhusu entrepreneurship imekua kubwa sana TZ.....ndo kila afikirie ku-invest hata kama hana mtaji wa kutosha....kiukweli kwa hiyo tsh.50,000/= ni bora uitunze na udundulize mpaka atleast ifike tsh.500,000/= ndo ufikirie ku-invest but ukifikiria sasa hivi ku-investvkwa hiyo pesa utakuavunajidanganya tu na biashara utakayofanyavitakua ya kupoteza muda tu
 
elf50 nunua vochauza kama upo ofisin kila siku zinakwisha unala na elf52 mia5

kama upo mtani pia itakufaa, USIKOPESHE kamwe

Au nunua vifaranga wa3 wamalawi, then nunua chakula ya kuku ya kupima kwa miezi2 bada ya hapo wachie watafute chakula wenyewe. then bada ya miezi4 utantafuta unipe jogoo wa shukurani
 

Samahani lakini.Mimi napingana kabisa na wewe kuhusu kusubiri hadi afike laki tano kwani hela haikusanyiki kwa sababu itatokea dharura na ukaweza kuitumia kwa mambo mengine.
Mimi naamini hata kama mtu ana shilingi mia anaweza kufanya nayo kazi na akapata faida kubwa tu na hata kuweza kuajiri wengine wengi kwa hiyo sh 100/=
Hivyo namshauri asisubiri apate hela nyingi kwani utajikuta unazeeka na hela bado hujapata na biashara usifanye
Mfano kama yupo DSM anaweza kuchukua machungwa ya elfu kumi na kuweka meza mahali penye mzunguko wa watu na kuanza kuchonga na kuuza moja 200.Kuanzia mchana hadi jioni utakuwa umerudisha 10,000/= yako na faida juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…