Kuweni Makini na Dar Expart Sales na utapeli wa Pesa Mtandaoni

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,236
Reaction score
10,774
Hivi karibuni kumeibuka wimbi jipya la kitapeli ambalo limeacha mamia ya Watanzania wakilia na kusaga meno. Ukiwa unaperuzi Facebook, unakutana na tangazo lenye mvuto wa kipekee: Ukurasa wa "Dar Expart Sales" au "Arusha Expart Sales" unatangaza kuuza bidhaa za ndani kwa bei ya "vunja bei."

Sababu yao kuu? Wanadai kuwa ni raia wa kigeni wanaohama Tanzania kurudi kwao, hivyo wanauza kila kitu kwa haraka.

Hapo ndipo mchezo mchafu unapoanza. Utakuta TV ya kisasa, friji kubwa, au sofa za kifahari zinauzwa kwa robo ya bei ya sokoni. Kwa mfano, kusikia PS4 inauzwa kwa TZS 400,000 ni jambo la kawaida kwao.

Mtu yeyote mwenye shauku ya maendeleo anaweza kuingia mtegoni kirahisi akidhani amepata "bahati ya mtende."

Ukifuatilia maelekezo yao na kuingia WhatsApp, mchezo unabadilika chap. Badala ya kukuambia eneo walipo ili ukakague bidhaa, sharti ni moja tu: Lipa kwanza, utumiwe mzigo.

"Tuma screenshot ya malipo, kisha tutakupa maelekezo ya wapi ulipo mzigo au tutakufanyia delivery," ndiyo lugha yao ya kila siku.

Ukihoji kuhusu usalama wa pesa yako au kutaka kufika ofisini kwao, majibu yanakuwa mafupi na yenye shinikizo. Ukishatuma tu fedha hizo, kinachofuata ni "Block" moja matata. Hapo ndipo unagundua kuwa "Expert" pekee waliyenayo ni utaalamu wa kuiba fedha za wavuja jasho.

Namna ya Kujilinda:

  • Usilipe kabla ya kuona: Kamwe usitume pesa kwa mtu usiyemjua mtandaoni kwa bidhaa usiyoiona.
  • Bei ikizidi kuwa tamu sana, shtuka mkuu: Ikiwa bidhaa inauzwa kwa bei ya chini isivyo kawaida, asilimia 99 ni utapeli.
  • Kagua Kabla ya Kununua: Muuzaji mwaminifu hawezi kukukataza kwenda kuona bidhaa kabla ya malipo.

Usikubali kuwa mhanga wa "Expart Sales." Kumbuka, mtandaoni hakuna ndugu; Linda mfuko wako, epuka utapeli huu wa kijinga unaotumia kiu yetu ya maisha rahisi kutunyonya.
 
Namba tu inaonesha n ya kimataifa arf unaenda kulipa hela
You will be a zwazwa in a capital city
 
***** kila mada upo, sasa mashoga kuagiza mnaagiza nini au ni maboro ya plastiki ya kujisukumizia mtaroni
Aisee Shoga umekuja hadi kwenye Uzi huu! Sasa nimeamini mpumuliwa kisogoni hachoki kutapatapa akitafuta wa kumdinya.

Nimekuonea tu huruma, njoo nikubandike na kukubandua qinyeo chako kipate kutulia.
 
Expart sales badala ya expert sales hiyo ni red flag ya kwanza kabisa.
Sio expert. Ni expat, ni mtu anayeishi nchi isiyo yake. Hawa wanafunzi kutoka nje, high commissioners, mabalozi, maofisa wao, watumishi wa NGOs na mashirika ya kimataifa wasio wazawa wa hapa ndio expats na wana vibali vya kuishi kufanya kazi au kusoma, hawana uraia.

Huyo tapeli anajifanya matawi ya juu anaitumia namba ya Canada na ya Alaska (ambazo hata wewe ukitaka unapata unalipia websites za matapeli). Kumbe yupo Mpiji Magohe anauza majani ya maboga.
 
Aisee Shoga umekuja hadi kwenye Uzi huu! Sasa nimeamini mpumuliwa kisogoni hachoki kutapatapa akitafuta wa kumdinya.

Nimekuonea tu huruma, njoo nikubandike na kukubandua qinyeo chako kipate kutulia.
Matusi ya bwabwabwabwa, mchele mchele umeiva kwenye vigodoro
 
Matusi ya bwabwabwabwa, mchele mchele umeiva kwenye vigodoro
Fanya hivi, fungua friji hapo kwa dada yako najua Kuna ndizi humo ujiingizie kinyeoni mwasho utaisha.

Nasema hayo sababu usiku huu wa manane hutampata wa kukufira.
 
Fanya hivi, fungua friji hapo kwa dada yako najua Kuna ndizi humo ujiingizie kinyeoni mwasho utaisha.

Nasema hayo sababu usiku huu wa manane hutampata wa kukufira.
***** unatokea mapori ya wapi, hata kuandika sentensi za kiswahili hujui ?
Jitie madole ulale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…