Kuweni makini na huyu mtu

Kuweni makini na huyu mtu

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,932
Reaction score
13,306
Yupo kwenye mtandao flani hivi maarufu Duniani, anajiita "Spy" Eti alikimbilia Ughaibuni lest he would be safe, Eti akiwa Bongo atadhurika.

Huyo mtu ni HATARI zaidi ya nyoka, kazi yake kubwa ni kujifanya yupo Upinzani na mkosoaji wa Serikali, kumbe ni Traitor, na Bado yupo kitengoni, amekamatisha wengi mno waliodhani ni mwenzao kumbe ni Traitor.

Huko Ughaibuni pia yupo kikazi, na anajifanya Eti hajawahi kuja Bongo Tangu aondoke, kumbe mara kibao tu anakuja kwao na kula kambare Kama Kawa yaani.

Mambo anayoandika huko mtandaoni utaamini kabisa kuwa he's not part of the government's body kumbe yupo kazini.

Kazi kwenu.
 
Back
Top Bottom