UndisputedChamp
Member
- Mar 10, 2021
- 41
- 40
Dah! sio kwa back, reverse ,back, kinyume language mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! sio kwa back, reverse ,back, kinyume language mkuu
Tatizo hamtumii akili. Mnawaona Watanzania maf*la. Muda huu watu wanataka kufahamu Jiwe yu hai au la nyie mnaleta porojo zenu. Mmewalisha watu matango pori kwa stori za kutengenezwa na TISS kuwa Jiwe yupo Nairobi mara yupo India, na sasa mnatafuta pa kutokea.Yupo kwenye mtandao flani hivi maarufu Duniani,anajiita"Spy" Eti alikimbilia Ughaibuni lest he would be safe ,Eti akiwa Bongo atadhurika.
Huyo mtu ni HATARI zaidi ya nyoka,kazi yake kubwa ni kujifanya yupo Upinzani na mkosoaji wa Serikali,kumbe ni Traitor,na Bado yupo kitengoni, amekamatisha wengi mno waliodhani ni mwenzao kumbe ni Traitor.
Huko Ughaibuni pia yupo kikazi, na anajifanya Eti hajawahi kuja Bongo Tangu aondoke,kumbe mara kibao tu anakuja kwao na kula kambare Kama Kawa yaani.
Mambo anayoandika huko mtandaoni utaamini kabisa kuwa he's not part of the government's body kumbe yupo kazini.
Kazi kwenu.
Ananiongelea mimi lakini anaogopa hata kutaja jina 😁Unamzungumzia chahali?
Ananiongelea mimi lakini anaogopa hata kutaja jinaUnamzungumzia chahali?
Umejuaje kama wewe sio yeye?Hapana,Kigogo siyo kitengo,yupo kitengoni kweli ila yupo upande wa kundi la wananchi wanyonge, Kigogo ni really actvist ndo maana hajulikani hata kwa Sura,lile boya lipo wazi Sura yake halafu linajiita "Spy"Tangu lini Spy akaji expose Publicly?
Hajiamini ukiona hivyoAnaniongelea mimi lakini anaogopa hata kutaja jina
Umejuaje kama wewe sio yeye?
Ananiongelea mimi lakini anaogopa hata kutaja jina 😁
Tatizo hamtumii akili. Mnawaona Watanzania maf*la. Muda huu watu wanataka kufahamu Jiwe yu hai au la nyie mnaleta porojo zenu. Mmewalisha watu matango pori kwa stori za kutengenezwa na TISS kuwa Jiwe yupo Nairobi mara yupo India, na sasa mnatafuta pa kutokea.
Mngekuwa na akili nzuri mngesubiri hili jambo kubwa lipite ndo mhangaike nami, maana jitihada zenu kwa sasa zinawaumbua tu - wenye akili wanajiuliza "ah mbona hawa wanamwandama huyu anayejibidiisha kutufahamisha kinachoendelea chini ya kapeti"? Tatizo mmejipa hatimiliki ya ukweli, mnapokosa cha kudanganya watu basi kila anayeeleza ukweli anakuwa mbaya wenu. Acheni kutumika.
Pia kwa taarifa tu, Kitengo kimefanya bidii endelevu dhidi yangu kwa miaka lukuki lakini hawajafanikiwa. Musiba nae kahangaika mno lakini ndo kwanza ananiongezea followers. Nina kitu ambacho ninyi hamna: INTELLIGENCE.
Kumbe ni member humu, nikajua Twitter tu. Hapa Sasa tuendelee kuzijua mbivu na mbichi , mwageni ung'eng'e Sasa Mana watu bado tunapressure.Tatizo hamtumii akili. Mnawaona Watanzania maf*la. Muda huu watu wanataka kufahamu Jiwe yu hai au la nyie mnaleta porojo zenu. Mmewalisha watu matango pori kwa stori za kutengenezwa na TISS kuwa Jiwe yupo Nairobi mara yupo India, na sasa mnatafuta pa kutokea.
Mngekuwa na akili nzuri mngesubiri hili jambo kubwa lipite ndo mhangaike nami, maana jitihada zenu kwa sasa zinawaumbua tu - wenye akili wanajiuliza "ah mbona hawa wanamwandama huyu anayejibidiisha kutufahamisha kinachoendelea chini ya kapeti"? Tatizo mmejipa hatimiliki ya ukweli, mnapokosa cha kudanganya watu basi kila anayeeleza ukweli anakuwa mbaya wenu. Acheni kutumika.
Pia kwa taarifa tu, Kitengo kimefanya bidii endelevu dhidi yangu kwa miaka lukuki lakini hawajafanikiwa. Musiba nae kahangaika mno lakini ndo kwanza ananiongezea followers. Nina kitu ambacho ninyi hamna: INTELLIGENCE.
Ila ninyi nyote mnategemea info kutoka kwa wengine. Inawezekana kabisa wote mmepewa matango mwitu au ?Ananiongelea mimi lakini anaogopa hata kutaja jina
Umejuaje kama wewe sio yeye?
nime ku quote hapo "unapopambana kwanza hukimbii na kujificha"Ila duniani ishi utaona makubwa. So ule ujinga na kukosa ubinadamu kabisa ndo kuwa upande wa wananchi. Wananchi wa wapi. Danguroni au wavutaji. Mana Hakuna mtu mstaarabu anakuwa hivyo. Unapopambana kwanza hukimbii na kujificha na kuanza kuimba taarabu. Afu activist gani anakuwa na Chama cha Siasa. Maslahi yake yatawezaje kujigawa.
tell them broTatizo hamtumii akili. Mnawaona Watanzania maf*la. Muda huu watu wanataka kufahamu Jiwe yu hai au la nyie mnaleta porojo zenu. Mmewalisha watu matango pori kwa stori za kutengenezwa na TISS kuwa Jiwe yupo Nairobi mara yupo India, na sasa mnatafuta pa kutokea.
Mngekuwa na akili nzuri mngesubiri hili jambo kubwa lipite ndo mhangaike nami, maana jitihada zenu kwa sasa zinawaumbua tu - wenye akili wanajiuliza "ah mbona hawa wanamwandama huyu anayejibidiisha kutufahamisha kinachoendelea chini ya kapeti"? Tatizo mmejipa hatimiliki ya ukweli, mnapokosa cha kudanganya watu basi kila anayeeleza ukweli anakuwa mbaya wenu. Acheni kutumika.
Pia kwa taarifa tu, Kitengo kimefanya bidii endelevu dhidi yangu kwa miaka lukuki lakini hawajafanikiwa. Musiba nae kahangaika mno lakini ndo kwanza ananiongezea followers. Nina kitu ambacho ninyi hamna: INTELLIGENCE.
Ukiangalia huyu mwamba, amekuwepo TISS kama mika 13 na yupo pia nje ya TISS kwa miaka 13 kama mahesabu yangu sawa sawa.. vyanzo vyake vya taarifa na uhakika wa hizo taarifa upoje ? Hii inafanya kazi na kwa kina Kigogo pia, huyo ndio atujui katoka huko lini na alikuwa na wadhifa upi na masalia kiasi gani anayo huko na je bado yapo active au nayo wame yamwaga.. wasichekana wala kutukanana --- wote hawapo jikonitell them bro
The burden of proof is on you. Prove me wrong.Kwahiyo bado unakomaa kuwa unaesema kafa ..kafa kweli??
Sio kuwa umelishwa false info au unalisha watu false info??
Kwani TISS wanategemea info kutoka kwao wenyewe au "kwa wengine"? By the way, information from oneself as a source isn't intelligence. It's an opinion.Ila ninyi nyote mnategemea info kutoka kwa wengine. Inawezekana kabisa wote mmepewa matango mwitu au ?
Nimeuliza tu mkuu. Maana pia niliangalia kitengoni umedumu kama miaka 13 na upo nje ya kitengo kwa 13. Nikawa najiuliza vyanzo vya taarifa zako.. kwa hii miaka 13 si inaweza ikawa vimetibuliwa tibuliwa sana. Ila kutokana na majawabu yako sawa. Acha nikabebe zege haya mambo yenu watu wazitoKwani TISS wanategemea info kutoka kwao wenyewe au "kwa wengine"? By the way, information from oneself as a source isn't intelligence. It's an opinion.
Next question?