Kuweni makini na huyu mtu

Kuweni makini na huyu mtu

Nimeuliza tu mkuu. Maana pia niliangalia kitengoni umedumu kama miaka 13 na upo nje ya kitengo kwa 13. Nikawa najiuliza vyanzo vya taarifa zako.. kwa hii miaka 13 si inaweza ikawa vimetibuliwa tibuliwa sana. Ila kutokana na majawabu yako sawa. Acha nikabebe zege haya mambo yenu watu wazito
Once a teacher, always a teacher. Kwenye intelijensia ni hivyo pia. Ukikipenda kitu, na ukakimudu, na ukajibidiisha kuji-keep up-to-date unaweza kuwa bora katika fani husika mpaka mwisho wa uhai. Pengine bora kuliko "waliopo kazini."
 
Jambo hili linawezekana sana tu, kama tu utajua mtaala gani wanatumia TISS kwa sasa hasa PSU. Mambo mengine acha niwaachie wenyewe wana vitengo. Naamini Serikali ndio ina taarifa sahihi zaidi za kinacho endelea na ukimywa wa serikali una maana pia.
 
Inawezekana hata TISS hawafahamu lolote!
 
Ni ngumu sana kwa Diwani kutokujua mambo! Kumbuka yule ndiyo ana report kwa Rais moja kwa moja! Sasa asipojua mambo si ni hatari hii! Ungesema kila kitengo kina siri zake!
Diwani hawezi jua pia kila kitu. Anareport taarifa ambazo zimechambuliwa na watendaji wengine. Na kuna vitengo haviwajibiki kwa diwani moja kwa moja. Huwezi kabiziwa TISS yote 😀😀😀.. hii ipo kwenye vyombo vyote vya usalama.. kuna nondo humo zikiona unaleta umbuzi ndio utashangazwa na roho yako 😀😀
 
Yupo kwenye mtandao flani hivi maarufu Duniani,anajiita"Spy" Eti alikimbilia Ughaibuni lest he would be safe ,Eti akiwa Bongo atadhurika.
Huyo mtu ni HATARI zaidi ya nyoka,kazi yake kubwa ni kujifanya yupo Upinzani na mkosoaji wa Serikali,kumbe ni Traitor,na Bado yupo kitengoni, amekamatisha wengi mno waliodhani ni mwenzao kumbe ni Traitor.
Huko Ughaibuni pia yupo kikazi, na anajifanya Eti hajawahi kuja Bongo Tangu aondoke,kumbe mara kibao tu anakuja kwao na kula kambare Kama Kawa yaani.
Mambo anayoandika huko mtandaoni utaamini kabisa kuwa he's not part of the government's body kumbe yupo kazini.
Kazi kwenu.
LIHACHA naona kama MWEHU fulani hivi.
 
Kuna wanaharakati kama unawajua kwa ukaribu ni waoga tu lakini kutwa kuinanga serikali alafu hawaguswi! Nanga wewe sasa! Tafuta ugali wako achana na mambo ya watu usiowajua.
 
Kuna wanaharakati kama unawajua kwa ukaribu ni waoga tu lakini kutwa kuinanga serikali alafu hawaguswi! Nanga wewe sasa! Tafuta ugali wako achana na mambo ya watu usiowajua.
Point kubwa sana hii. Unaweza jilete mtu shida na familia kubaki na machozi kwa kushabia mambo ambayo hayakuhusu
 
Ukiangalia huyu mwamba, amekuwepo TISS kama mika 13 na yupo pia nje ya TISS kwa miaka 13 kama mahesabu yangu sawa sawa.. vyanzo vyake vya taarifa na uhakika wa hizo taarifa upoje ? Hii inafanya kazi na kwa kina Kigogo pia, huyo ndio atujui katoka huko lini na alikuwa na wadhifa upi na masalia kiasi gani anayo huko na je bado yapo active au nayo wame yamwaga.. wasichekana wala kutukanana --- wote hawapo jikoni
such information ni ngumu kuzifaham. mtu kama huyo hawezi weka sources wake nje. why?
the moment anaweka.. ata wa expose wenzie au mtandao wake wote anao shirikiana nao.

how ever kwa issue ya kigogo its pretty different.
 
Back
Top Bottom