Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
(Story ya Asamoah Gyan)
Intro 👇👇
✍️Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kunambia Wanawake wana jicho la kuforecast mafanikio ya mtu kabla hata mtu mwenyewe hajayaona , Yaani mwanamke anaweza kukuweka kwenye mzani akajua wewe ten Years utakuwa wapi kimaisha, kama ukiwa in a stable movement.
✍️Nilikua nambishia kimtindo ila now baada ya kusoma baadhi ya stories za watu nimeanza kuelewa sema tu wengi hawataki kuwa involved kwenye huo mchakato wa mafanikio wao wanataka kuona mafanikio ndio maana hata akikuona mbali anaweza asiwe upande wako.
Story yenyewe 👇👇
✍️Anaitwa Asamoh Gyan Jamaa alizaliwa Novemba 22, 1985. Gyan alianza maisha yake ya soka mwaka 2003 akiwa na timu ya Liberty Professionals ya Ligi Kuu ya Ghana, akifunga mabao kumi katika michezo kumi na sita.
✍️Kisha misimu mitatu alikua na klabu ya Serie A (Italia) ya Udinese na misimu miwili akaenda kwa mkopo huko Modena, ambapo alifunga mabao kumi na tano katika michezo 53 ya ligi.
✍️Jamaa mwaka jana alipigwa na kitu kizito baada ya Uamuzi wa mahakama kumtaka Amgawie mali na pesa mke wake wa zamani bidada Gifty Gyan na anatakiwa kumpa nyumba yake iliyopo Uingereza, nyumba yake nyingine iliyopo Accra pale Ghana, kituo cha petroli, na magari mawili.
✍️Haiishii hapo Gyan anatakiwa kulipa cedi 25,000 za Ghana kwa mwezi, ambazo ni sawa na Million 5 laki nne na ushee hivi kwa pesa ya kibongo manake Jamaa anampa Ex wake huyo kwa mwaka Million 65 laki sita na vichenchi kadhaa, (Hiki ndio kilichomfanya Bruno amuue Eliza Samudio)
✍️Imagine kwa mwaka unatoa million 65 kwa mtu halafu anaenda kula maisha huko na wahuni wake kwa mwanangu kama @jobles_bukujero anaweza aroge mtu, though ni pesa kwa ajili ya matunzo ya wa watoto wao watatu lakini watoto gani wanalelewa kwa Million 65.
✍️Hapo still kuna Sheli kaachiwa ambayo ni productive nyumba mbili na magari mawili Watoto wanasomeshwa na Baba na mama wote wawili.
Kosea vyote usikosee kuoa aisee
✍️Nilikwambia kuhusu wanawake kusight mafanikio ya mtu hapa ndio utaelewa ,Ukiachana na msala wa Achraff Hakimmi na Ex wake Hiba Abouk ,Asamoh pia aliingia kwenye Radar za Wanawake wenye malengo makubwa ya Vizinga na kimemnyea kama hivo.
✍️Wawili hao walianza mahusiano mwaka 2003 wakati Gifty akiwa mke wa Bwana mmoja aliyeitwa Eugene Antwi Oware kitu kilichopelekea ndoa hiyo kuvunjika Kisha Asamoah na Gifty Rasimi ikawa utawala.
✍️Jamaa hakujua kama kawekwa mtegoni na anaangaliwa kama project kwa Mrembo yule wa Kighana (Ni kama @DullahTheking2 alivowekwa kama project na Aisha ) maisha yakawa yanaenda (Nasema project kwa sababu gani, Mahusiano yalianza 2003 wakati Gifty ni mke wa mtu.
✍️Akaachana na mumewe kwa sababu ya Gyan na ukumbuke 2003 ni mwaka ambao Gyan alianza soka la Kulipwa na sio kama alikamata pesa nyingi sana ila ndo zile naridhika na ulichonacho zikamuingiza kwenye Reli jamaa.
✍️Life goes Gyan akawaka likawa chezaji la Dunia sasa huku Bidada Gifty moyoni akifurahia maana project inawork out vizuri na mwaka 2007 baada ya kupata mtoto wao wa pili wakaoana Rasmi na kuwa mke na Mume. ( kizinga kinaelekea kutiki 😂😂).
✍️Mwaka 2018 Mwishoni Gifty akaona sasa project imeshakuwa matured akatingisha kiberiti , kwenye vile vi ugomvi vya hapa na pale Kwenye ndoa si akamwambia Gyan kuwa kwanza hata hawa watoto sio wako na ndio mambo yalipoanza kutibukia hapo.
Walipopima DNA matokeo yalithibitisha kwamba Gyan ndiye baba wa watoto wale ila
Ile kitu ikawa imebaki kama Ufa kwa Gyan plus matukio kadhaa ya huko nyuma akajua kuwa hapa huyu mwanamke sio Salama.
hata ile DNA pengine ya mchongo akafungua Shitaka la kutaka talaka na yule Bidada.
✍️Finally November 1, 2023 ndoa ile ikavunjwa Rasmi na mahakama ikathibitisha Katika hukumu yake, kwamba Gifty Gyan alichangia sehemu kubwa katika ununuzi wa mali za familia husika kwani yeye ndiye aliyehusika hasa na malezi ya watoto.
(kizinga Complete 😂😂,workdone 100%).
✍️Rasmi wakawa wameachana na Gyan akaamriwa kumpa Gifty nyumba yake iliyopo Uingereza, nyumba yake nyingine iliyopo Accra pale Ghana, kituo cha petroli (Kibongo tunaita Sheli), na magari mawili pia anatakiwa kulipa cedi 25,000 za Ghana kwa mwezi, ambazo ni sawa na 5M na 400k.
✍️Maanake Jamaa anampa Ex wake huyo kwa mwaka 65M na 600k hivi, Gifty kwa kusoma tu hadi chuo kuikamata million 65 kwa mwaka ingekuwa ndoto ila leo anaichukua kirahisi tu plus business kadhaa alizogawiwa life goes easy maisha ni hesabu tu mwanangu na uvumilivu.
✍️Watoto 3 wa Asamoah na Gifty ambao wanalelewa kwa 5M kwa mwezi ni ; Frederick Gyan, Raphael Gyan na Ohemaa Gyan.
Narudia tena wanangu kuweni makini na Wanawake, kosea vyote ila usikosee kuoa , hata wanawake kuweni makini na wanaume maana Dunia ya leo No Body is Safe 📌
Credit :Mdau wa mtandao wa X