Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Wakuu habari.
Huu ni muendelezo wa kile nilichowaambia kinaitwa (Blackmail)
Mtaani ninapoishi - huwa nina utamaduni wa kununua vitu vingi vinavyohusu Chakula na kuweka Ndani.
Kikawaida Mimi sio mtu wa Ku pika Sana maana familia yangu inaishi nje Watoto na Mama yao labda wakati wa likizo.
Mimi Kazi zangu zinanipa Sana Muda maana Mimi ni kiongozi wa kutoa maelekezo.
Sasa Mtaani ninapokaa kuna wale wanawake wanaitwa Single mother.
Yupo mmoja tumezoena kiasi Ila sio kukaa kupiga story.
Sasa huwa nagawa sana Sukari, Mchele na mambo madogo madogo Kwa hawa single Mama huwa sioni umuhimu wa kutoa Vitu Kwa watu wa mbali aliyakuwa kuna Watu wapo mtaani wana shida.
Sasa juzi Kati hapa
Huyo single Mama mmoja na mwenzake (Shosti yake) walinikuta nagawa sukari Kama kilo 10 na kumnunulia mwanae vitu vidogo Vya kula baiti n.k
Sasa kilichofanyika nini?
Wale wa mama walipata jealous kubwa walimfata yule single mama wakamwambia Mimi nina mazoea yaliyopitiliza na mwanae wa kike ambaye Kwa umri anaweza Kuwa na miaka 8-10. Wakakaa kikao -then wakawaza Sana ni namna gani watanipiga hela.
Yule mama wa mtoto ambaye nilimpa sukari na hao wanawake wengine masingo mama wakampanga yule na wakaja kwangu kujifanya wanamkandia rafiki yao kuwa analalamika why nina mazoea na mwanae wa kike mdogo kitu ambacho sio kweli.
Kitu nilichofanya niliwaambia mmeshawahi kulala police. Wakasema hapana nikawaambia endeleeni kuujaribu moto mtaambiana Kama mmejiandaa kwenda kuishi magereza na watoto wenu endeleeni kunifatilia.
Hapo hapo nikaondoka.
Natoa somo: Usithubutu kumsaidia masikini yoyote Mtaani kwako
Jaribu kukaa mbali na single mothers
Hakikisha Mtaani kwako hauna mazoea yoyote na mtu awe mtoto, mzee, kijana au Bibi.
Ukitaka kusaidia nenda katika sehemu special za kutoa msaada Kama kwenye vituo.
Single mothers ni watu waliochafuka roho , yaani anaweza kukutengenezea trap ukajikuta upo sehemu mbaya Mimi kilichonisaidia ni kuwa nina Maarifa ya kudukua akili ya mtu na kujua anawaza nini kuhusu Mimi.