Kuweni makini na single mothers, ni hatari. Nimenusurika kutoka katika mdomo wa mamba

Mkuu sidhani Kama wote wana mienendo mibovu, wapo baadhi Wana jiheshimu na wana heshimu wengine.

Huu uzi ume andika kikatili sana
 
Mkuu

Ume complicate sana mambo!
Kwa uelewa wako ungegundua no umaskini plus akili finyu plus kukata tamaa ndicho wanachopitia hao!!

SINGLE MOTHERS SIO WABAYA KAMA MNAVYOWAONA,WAPO KIBAO HAPA KITAA AND ARE GOOD!!

Endelea kusaidia tu halafu kuwa busy na mambo yako!!

Kansas. Pekee inayowatafuna wanawake wote no moja TU "hawajui kuishi mafanikio"wanapopata ahueni ubinafsi unawaingia!!sio kama sisi men!namshukuru mungu sana mentality tuliyopewa sisi Men!
 
Sisi makontawa tulishatoa onyo kabla hukusikia baada ya kunusurika kuuwawa na wewe unarudi tena kutushauri makontawa kweli?

Ilitakiwa urudi na kusema Kweli Makontawa mpo sahihi na siyo kuja kutuonya.
 
Kutoa msaada regardless unautoa kwa nani sio vibaya.

Ubaya ni kuwa anaeupokea msaada huwa anakuona kama fursa sasa ya yeye kutoboa kimaisha.

Ukiwa mwema sana, watu wanakuchukulia poa wanakuona boya fulani. Tenda wema nenda zako. Usitende wema ili ulipwe ule wema.
 
Sawa, ila sijaelewa hiyo point ya kuwakataa single mothers ilipo kutokana na hy mada.
 
Hapana kwa hili, Nina imani mtaani kwako bado wapo wenye uhitaji zaidi ya hao wamama.

Kuna wajane, wazee na wagonjwa, Endelea kutoa msaada, Ila jiwekee mipaka kulingana hili lilojitokeza, Hakika Mungu atakuongezea.
Utaambiwa unataka kuwatoa kafara mkuu
 
Unajiuza kuwauzia wengine🤔upumbavu.

Masingo mama nao wapo kimya tu.

Huu sio uungwana hata kidogo😂
 
Wewe hujitambui,,,, mazoea mazoea na hao wamama unatoa wapi ? Acha mazoea kabisa ! Mm naweza hamia sehem nakaa hadi miez 6 sina mazoea na mtu ama mtu kunifahamu hata jina,,,, sana sana watajua tu huyu mtu anaishi nyumba ile bas!
 
Nljua nn sijui nmewaste katime kangu
 
📌📌📌UMASIKINI NI LAAANAAA,KAA MBALI NA MASIKINI WATAKUPONZA!!!

📌📌📌MASINGO MAZA NI LAANA,USIWAKARIBIE UTAPITEA!!!
 
Wakati mwingine tunawalaumu watu waliofanikiwa wapo smart sana wanaweka mipaka hawataki mazoea kumbe ni kwaajili ya kujilinda
 
Matajiri wanapeana mbinu za uchoyo ku balance utajiri wao.


Nakazia,
Hatusaidii mtu kwa mitaa yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…