Kuweni makini na wake zenu jamani

Kuweni makini na wake zenu jamani

ivan1212

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2019
Posts
932
Reaction score
2,441
Habarini wana jamvi. Naamini mko salama kabisa na poleni na mihangaiko ya hapa na pale.

Naandika uzi huu kuwakumbusha tu muishi nao kwa akili na pia umakini na kufatilia mambo kwa hawa wake zenu.

Leo katika harakati zangu za kutoa genyerh mwilini katika hoteli flani ivi nikapishana na mke wa mtu ninaemfahamu kabisa akiwa ndo anaingia chumbani kwa hiyo hotel na kijana mdogo tu kiumri na hata kimwili. Hata hivyo hakuweza kunifahamu sura kwasababu nilikuwa nimevaa barakoa(si unajua tena ili kujikinga na hili balaa la uviko-19).

Hii ilinifanya nimuwaze familia aliyoiacha nyumbani, na apo unakuta mme wake ameshadanganywa kwahiyo ame relax tu hana shida. Ikabidi niendelee zangu na safari maana huwezi jua mahusiano yakoje baina ya watu wawili au kuhukumu mahusiano ya watu.

Wanaume waliooa jitahidini kufanya chochote juu ya uwezo wenu ili wake zenu msichapiwe. Na sisi wengine huku tuwe makini tuwapo na mali za watu jamani, msije baadae mkaanza kujutia.

#bemaskedbesafe
 
Mkuu, nyakati hizi za barakoa unaweza ukamfananisha mtu kumbe sivyo.
 
Mama mwenye canteen nnayokula anatoka na jamaa nasoma nae. Yule maza naona kama ana 37 to 42. Hata A level mbona walikuwepo wahuni wamepinda wanatoka na mijimama uko mtaani, walianza kimchezo ila wanaendeleza tabia hiyo.

Kuna mmoja last semester alihama akakaa apartment, nikashangaa mtu aliyekuwa anatupiga vizinga kaokota wapi hela ya apartment. Kumbe kalipiwa na mshangazi mmoja ila washaachana
 
Back
Top Bottom