KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Nikajivika ukongoman mzee si alikuwa anapenda nyimbo zakikongo,siku moja wapo wageni nikaimba haka kakipengele kwenye huu wimbo.. Sasa inavyosound ndugu acheni tu! Tusichanganye lugha za watu maana kwa ule mmbanzi mpk wageni ilibidi waage tu!..
Lilitua banzi la shingo nikahisi leo ndo ile siku yesu aliyosema atarudi!..
Sikiliza nawe inavyosound..
Lilitua banzi la shingo nikahisi leo ndo ile siku yesu aliyosema atarudi!..
Sikiliza nawe inavyosound..