Kuwepo kwa mikataba angalau ya miaka 2 kwa Watumishi wa Serikali, baada ya mkataba kuisha kuwe na utaratibu wa kukagua utendaji kazi

havisomeki, boresome and not friendly to read.

Kwahiyo unasema ili kila mmoja aweze kuajiliwa at some tme kuwa na mikataba. Mkataba ukiisha anaajiliwa mwingine . It seems huna ajira! au nakosea?
Nitajitahidi siku nyingine mkuu kuweza kuandika ili visomeke but nina imani umeelewa ndio maana umeona havieleweki. Nafikiri na wewe umeajiriwa ndio maana umeona havieleweki au nakosea?
 
Ameshindwa kupangilia hoja alizonazo kichwani kwa kuandika.Kuandika unachukua muda na unapata nafasi ya kuhariri ukitakacho.Vipi kama angepewa prompt speech aserereke?Kujieleza kwa umakini na umahiri bado ni changamoto nchini.
Asante sana kwa ushauri nitalifanyia kazi ila ningeomba unifundishe jinsi ya kupangilia hoja ili kama nchi tuondokane na hii kasumba ya kutoweza kujieleza Mkuu
 
Kwenye NGO ukipata mabeberu wazuri miaka miatano ni sawa na mshahara wa Mwalimu wa miaka 20-25

Sasa ukimwambia mwalimu ambaye anatengeneza mil 7 Kwa mwaka aachie ngazi

Lazima atarudi mtaani akiwa 0-0
Ndio maana nili suggest maslahi yawe mazuri tu ili hata mtu anapoondoka awe na mtaji wa kutosha. Sasa imagine unalipwa 5M kwa mwezi baada ya makato hukosi 3.5M ulipwe hio hela kwa miaka 5 utashindwa kumeki na kujiwekeza ilihali unajua baada ya muda unarudi benchi? Ukiunganisha na mzigo wa NSSF kule bado hujatoka tu!? Imagine we na mwajiri mnachanga million kila mwezi kule.
 
Asante sana kwa ushauri nitalifanyia kazi ila ningeomba unifundishe jinsi ya kupangilia hoja ili kama nchi tuondokane na hii kasumba ya kutoweza kujieleza Mkuu
Kwa hiyo nianze mafunzo rasmi ya kupangilia hoja hapa JF?Mkuu,mbona umewaza hivyo?Una muda mwingi wa kupata uyatakayo hata nje ya hapa.Niishie hapo.
 
Mbona wana Mikataba kabisa?

Kuna mikataba ya aina mbili katika Utumishi, Wa Kudumu na usio wa kudumu (Wa Kurenew)

Haiwezekani Mtumishi wa Umma umpe huo mkataba wa Temporary

Na akipewa wa kudumu akizingua kuna mamlaka ya kumuadhibu?...hata katika Ualimu hiyo mamlaka ipo
Inawezekana mtumishi wa umma akapewa mkataba temporary
 
Kwa hiyo nianze mafunzo rasmi ya kupangilia hoja hapa JF?Mkuu,mbona umewaza hivyo?Una muda mwingi wa kupata uyatakayo hata nje ya hapa.Niishie hapo.
Mafunzo yatatusaidia ili tuweze kuwasilisha hoja kwa ufanisi na tuweze kueleweka. Asante kwa Ushauri mkuu nitajitahidi kutumia muda wangu vizuri
 
We M CCM Kaa Kwa kutulia wenye akili watoe mawazo ya kujenga. Si nyie mambo yamewashinda mmebaki kusafirisha wasanii nje za nchi na kununua magori ya simba na yanga. Mbwa nyie
Akili uzitoe wapi ? Sema wewe ni jobless .
 
Ndio maana nili suggest maslahi yawe mazuri tu ili hata mtu anapoondoka awe na mtaji wa kutosha. Sasa imagine unalipwa 5M kwa mwezi baada ya makato hukosi 3.5M ulipwe hio hela kwa miaka 5 utashindwa kumeki na kujiwekeza ilihali unajua baada ya muda unarudi benchi? Ukiunganisha na mzigo wa NSSF kule bado hujatoka tu!? Imagine we na mwajiri mnachanga million kila mwezi kule.
Mi ni lyfist bloangu weweeee,hiyo 3.5 hainitoshi kuishi life style yng niliyoizowea,ingezeke angalau iwe 6 kaka mkuu,🤣🤣🤣
 
Utaratibu wa kupima utendaji wa watumishi upo. Zamani ulikua unaitwa OPRAS na sasa umekuwa digitalised unaitwa PEPMIS. Je, utaratibu huu una ufanisi kiasi gani, hilo ni swala lingine.

Tukumbuke pia, watumishi wengi wa serikali wanafanya kazi kwa mazoea na kubweteka sana. Wengi wanajali muda aliokaa kazini (saa nane kwa mujibu wa kanuni) bila kujali amefanya kazi kiasi gani au ameshinda anachezea simu na kupiga porojo.

Hii inasababishwa na mambo mengi lakini kubwa ni kukosa motivation. Mtu anaelipwa mshahara wa take home 300k ambayo inabidi ilipe kodi, isomeshe watoto, ilipe nauli, ilipe chakula, ilipe umeme, maji, vocha, iweke na akiba, inunue na soda etc, lazima mtu atafanya tu bare minimum.

Hivyo, kipimo cha weledi na uchapakazi wa watumishi kiendane na motisha husika. Kama mtakubali kuendelea kuwalipa kidogo, tutaendelea kuona kukosekana kwa tija kwa sababu ni nature ya binadamu kuact their wage.​
 
Kutokana na uongezeko la wasomi nchini imefika wakati sasa kungekuwa na mikataba kwa watumishi wa Serikali. Kuwepo kwa mikataba angalau ya miaka 2 baada ya mkataba kuisha kuwe na utaratibu wa kukagua utendaji kazi ambao kama ni wa kuridhisha katika kiwango ambacho kimeweka anaweza akaongeza mkataba mwingine huku akipanda ngazi na mwisho wa kuongeza mkataba katika eneo la kazi ni miaka 10 kwa maana kusiwe na Mtumishi akafanya kazi mahala kwa miaka zaidi ya 20.

Kwa watumishi ambao watakuwa hawajafika viwango stahiki hawataongezewa mikataba hivo kuweka nafasi wazi kwa ambao hawana ajira kuweza kupata kazi. Hii itasaidia kuongeza ufanisi na uwajibikaji makazini. Serikali itakuwa na kazi kubwa kusimamia uwajibikaji pasina kwa na presha kwa kuwa Mtumishi mzembe hatuweza kuongezewa mkataba.

Swala la watumishi kuwa na ukomo mpaka kustaafu kunatengeneza Watumishi ambao sio wawajibikaji ni muda sasa wa kuwa na mabadiliko kila baada ya miaka 2. Angalau kila Mwananchi aweze kuitumikia nchi. Nafikiri kama kutakuwa na utaratibu huu hakika itapunguza hili swala la kila Mwananchi kuamini katika kuajiriwa kwasababu ajira zitakosa huo ulinzi hivo kila mwananchi atakuwa na jukumu la kujitengenezea ustawi wake kwa kufikiria nje ya Box.

Watumishi watapunguza kuiba maana nchi yetu Watumishi wa serikalini ndio wanaongoza kuiba kuanzia juu mpaka chini kiasi imekuwa kama utaratibu wa kuwa Mwizi ndio kujiongeza. Kila mtumishi awe na miaka 2 akiiba hana ajira pamoja na taarifa ya wizi wake kiasi akisema aombe ajira sehemu nyingine hii sifa inakuwa sehemu ya CV yake kwamba alishawahi kuiba. Nafikiri hii inaweza kuleta mtazamo mpya nchini katika hii Karne ya 21. Ni muda sasa wa Kuivunja hii Security wanayoipata watumishi wa Serikali kwa kuwa ina hasara nyingi sana kuliko faida katika hii Karne ya 21.
Nani kakwambia ukisoma na usipoajiriwa huwezi kuitumia nchi?? Vipi mkulima na mfanyabiashara hawaitumikii nchi??
 
Ndio maana nili suggest maslahi yawe mazuri tu ili hata mtu anapoondoka awe na mtaji wa kutosha. Sasa imagine unalipwa 5M kwa mwezi baada ya makato hukosi 3.5M ulipwe hio hela kwa miaka 5 utashindwa kumeki na kujiwekeza ilihali unajua baada ya muda unarudi benchi? Ukiunganisha na mzigo wa NSSF kule bado hujatoka tu!? Imagine we na mwajiri mnachanga million kila mwezi kule.
Cha kwanza serikali haina hela ya kutosha kulipa watumishi wa umma mishahara minono ndio maana wanaitwa watumishi, wawe Wazalendo watumikie nchi.

Mbili, NSSF wanawajali sana watanzania ndio maana wanajaraibu kila linalowezekana kuwatunzia mafao yao mpaka watakapofika uzeeni😏
 
Utaratibu wa kupima utendaji wa watumishi upo. Zamani ulikua unaitwa OPRAS na sasa umekuwa digitalised unaitwa PEPMIS. Je, utaratibu huu una ufanisi kiasi gani, hilo ni swala lingine.

Tukumbuke pia, watumishi wengi wa serikali wanafanya kazi kwa mazoea na kubweteka sana. Wengi wanajali muda aliokaa kazini (saa nane kwa mujibu wa kanuni) bila kujali amefanya kazi kiasi gani au ameshinda anachezea simu na kupiga porojo.

Hii inasababishwa na mambo mengi lakini kubwa ni kukosa motivation. Mtu anaelipwa mshahara wa take home 300k ambayo inabidi ilipe kodi, isomeshe watoto, ilipe nauli, ilipe chakula, ilipe umeme, maji, vocha, iweke na akiba, inunue na soda etc, lazima mtu atafanya tu bare minimum.

Hivyo, kipimo cha weledi na uchapakazi wa watumishi kiendane na motisha husika. Kama mtakubali kuendelea kuwalipa kidogo, tutaendelea kuona kukosekana kwa tija kwa sababu ni nature ya binadamu kuact their wage.​
Tufunge mjadala maana umejibu kwa usahihi japo pamoja na salary kiduchu ila Bado kupambana kupo
 
Kutokana na uongezeko la wasomi nchini imefika wakati sasa kungekuwa na mikataba kwa watumishi wa Serikali. Kuwepo kwa mikataba angalau ya miaka 2 baada ya mkataba kuisha kuwe na utaratibu wa kukagua utendaji kazi ambao kama ni wa kuridhisha katika kiwango ambacho kimeweka anaweza akaongeza mkataba mwingine huku akipanda ngazi na mwisho wa kuongeza mkataba katika eneo la kazi ni miaka 10 kwa maana kusiwe na Mtumishi akafanya kazi mahala kwa miaka zaidi ya 20.

Kwa watumishi ambao watakuwa hawajafika viwango stahiki hawataongezewa mikataba hivo kuweka nafasi wazi kwa ambao hawana ajira kuweza kupata kazi. Hii itasaidia kuongeza ufanisi na uwajibikaji makazini. Serikali itakuwa na kazi kubwa kusimamia uwajibikaji pasina kwa na presha kwa kuwa Mtumishi mzembe hatuweza kuongezewa mkataba.

Swala la watumishi kuwa na ukomo mpaka kustaafu kunatengeneza Watumishi ambao sio wawajibikaji ni muda sasa wa kuwa na mabadiliko kila baada ya miaka 2. Angalau kila Mwananchi aweze kuitumikia nchi. Nafikiri kama kutakuwa na utaratibu huu hakika itapunguza hili swala la kila Mwananchi kuamini katika kuajiriwa kwasababu ajira zitakosa huo ulinzi hivo kila mwananchi atakuwa na jukumu la kujitengenezea ustawi wake kwa kufikiria nje ya Box.

Watumishi watapunguza kuiba maana nchi yetu Watumishi wa serikalini ndio wanaongoza kuiba kuanzia juu mpaka chini kiasi imekuwa kama utaratibu wa kuwa Mwizi ndio kujiongeza. Kila mtumishi awe na miaka 2 akiiba hana ajira pamoja na taarifa ya wizi wake kiasi akisema aombe ajira sehemu nyingine hii sifa inakuwa sehemu ya CV yake kwamba alishawahi kuiba. Nafikiri hii inaweza kuleta mtazamo mpya nchini katika hii Karne ya 21. Ni muda sasa wa Kuivunja hii Security wanayoipata watumishi wa Serikali kwa kuwa ina hasara nyingi sana kuliko faida katika hii Karne ya 21.
SERIKALI PUMBAVU YA CCM INAZINGATIA INTERVIEW TU KWAO INVIEW NI UPUMBAVU ....WAKATI HIYO INVIEW NDIYO YA MSINGI KULIKO INTERVIEW....NCHI ZA WAZUNGU WANAZINGATIA INVIEW KULIKO INTERVIEW.. SISI WAPUMBAVU MTU AKISHA PITA INTERVIEW BASI HATA ASIPOWEZA KAZI AU UFANISI WAKE UKIWA MBOVU NI SAWA TU TENA NA MSHAHARA ANAONGEZEWA....CCM NI 👉💩💩💩TU
 
Back
Top Bottom