Kuwepo na Bunge la kujadili ufanisi wa bajeti iliyopita Kabla ya kuanza kujadili nyingine

Kuwepo na Bunge la kujadili ufanisi wa bajeti iliyopita Kabla ya kuanza kujadili nyingine

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Hoja ya Dkt. Tulia kusema hili ni bunge la bajeti na siyo la kujadili report ya CAG lipo sahihi, lakini kwa nini report ya CAG ijadiliwe baada ya kupitisha bajeti nyingine ilihali iliyopita ufanisi wake ni sufurisufuri.

Kwanini tisingeanza kujadili madudu ya bajeti iliyopita badala ya kuendelea na nyingine tukimaliza ndo tunanza mjadala wa Bajeti mpya.

kinachotakiwa kila baada ya reoport ya CAG kikao kinachofuata ni kujadili report yake baada ya hapo mjadala wa bajeti nyingine ufuate, sasa unapeleka mjadalawa report ya CAG November so what wezi wengine watakuwa wamekufa na kuficha zaidi pesa zetu.

Kwa utaratibu huu wezi hawatakuja kuisha Tanzania maana saivi wametega mikono yote miwili wanajua pesa zingine zaja.
 
Sikiliza, Ewe Msemaji wa Chato. Unajua ukishikilia mpini, una uwezo wa kuamua lolote. Unaonaje 2025 uje ugombee, mkuu. Hapo utakuwa unashughulikia solutions na wala siyo maswali na kujilalamisha.
 
Back
Top Bottom