Tumia app zao. Kuna sehemu ya kuandika ujumbe MkuuBadala ya kutuma pesa na kupiga simu au tuma ujumbe kua pesa ni yanini, tuokoe muda.
Unaweka kiasi cha pesa na ujumbe mfupi, mfano :mchango wa harusi kutoka kwa Stive ruso.
Au wana jamii mnaonaje hii huduma?
Watu wanaanza kupenda matumizi ya apps za mitandao. Binafsi kubofya *150*00# naona nachelewa sana.Tumia app zao. Kuna sehemu ya kuandika ujumbe Mkuu
Mpokeaji anaona ujumbe huo kuwa pesa y’a nini pale tu inapoingia amaTumia app zao. Kuna sehemu ya kuandika ujumbe Mkuu