SoC04 Kuwezesha vijana kutumia rasilimali zetu katika kutatua changamoto ya ajira

SoC04 Kuwezesha vijana kutumia rasilimali zetu katika kutatua changamoto ya ajira

Tanzania Tuitakayo competition threads

japhet lazqro

New Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Vijana wawezeshwe kujitegemea katika kukuza uchumi wa nchi kwa kutumia changamoto kama fursa.

Mungu ametujalia ardhi yenye rasilimali nyingi ambazo asilimia kubwa hatuzitumii katika kuziongeza thamani
Ipo haja serikali kuwasaidia vijana waweze kuongeza thamani katika bidhaa.

Mfano sioni haja ya sisi kuagiza faniture kutoka nje serikali ingezuia uingizwaji wa bizarre zitokanazo na miti au chuma na udingo badly yake serikazi iwawezeshe vijana wazalishe izo bizaa hapa nchini.

Sioni ya thamani za majumbani kutoka nje ya nchi wakati tunavijana hapa wanazarisha kwa ubora wa juu tupeni mitaji.
 
Upvote 0
Wazo jema bro, lakini sasa vuta pumzi uandike zaidi maana insha ni marathoni, mbio ndefu braza😄

Labda kama umekuja tu kutuchana makavu af unasepa nduki🏃🏃
 
Je, katika rasilimali zilipo nchini wewe kama kijana ipi umeikimbilia ili kuifikia Tanzania uitakayo.?
 
Back
Top Bottom