Hapana, ana point msikilize na takakariMmh! Maisha ni machaguo kila mtu achague lake analoona ni sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, ana point msikilize na takakariMmh! Maisha ni machaguo kila mtu achague lake analoona ni sahihi
Hujui loloteKwa mtoto wa kiume atleast 28 uwe ushafyatua kwa kikeni ni miaka 23+kama ni msomi kama si msomi basi 19+
Mwanaume zaa ukiwa na 40+ km huna akili huwezi nielewa kibaya zaidi wasio na akili ndio wanaozalisha wanawake balaaMmh! Maisha ni machaguo kila mtu achague lake analoona ni sahihi
Jojo angalikuwa amezaa baada ya kufikisha miaka 30 hili lisingejitokezaHizo ni theory tu mkuu mda wowote tu kina happen nilitamani kuzaa under 25🥶Ila huo umri ukapita
Mfano wa Equation x upo katika kisa hiki.Unakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia.
Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake yote ya ujanani mpaka uzeeni anaishi kwa kuteseka, kwa kugharamia familia kwenye mahitaji na elimu.
Ukitaka kushuhudia hili, mtazame mwenzako au ata jirani yako hapo mtaani, hawana furaha kabisa, wote wanawaza mwezi januari watavukaje.
Ile ya kusema kila mtoto anakuja na bahati yake hiyo haipo siku hizi, we zaa angalau ukiwa na miaka 40+, ndio maana wenzetu nje wanazaa watoto 2 au 1.
Kwani mdau, kuufurahia ujana kwa upande wako ni kufanya nn labda?Unakuta kijana wa miaka 25 ameanza kuitwa baba, hapo ujana ataufurahia kweli zaidi ya kujibebesha majukumu mazito?
Umapema kwa kigezo kipi? Umri, kujipata, kipato au,? Kama umri, kuna wanaifikisha 35+na bado hakijaeleweka! Waendelee kusubili? Kuna wengine at 20+ tayari wana ukwasi wa 50M kwa mwaka! Kwa nini usioe?Unakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia.
Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake yote ya ujanani mpaka uzeeni anaishi kwa kuteseka, kwa kugharamia familia kwenye mahitaji na elimu.
Ukitaka kushuhudia hili, mtazame mwenzako au ata jirani yako hapo mtaani, hawana furaha kabisa, wote wanawaza mwezi januari watavukaje.
Ile ya kusema kila mtoto anakuja na bahati yake hiyo haipo siku hizi, we zaa angalau ukiwa na miaka 40+, ndio maana wenzetu nje wanazaa watoto 2 au 1.
uzae kuanzia 40+ unajua umri wako wa kuishi hapa duniani acha kiburi cha uzimaUnakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia.
Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake yote ya ujanani mpaka uzeeni anaishi kwa kuteseka, kwa kugharamia familia kwenye mahitaji na elimu.
Ukitaka kushuhudia hili, mtazame mwenzako au ata jirani yako hapo mtaani, hawana furaha kabisa, wote wanawaza mwezi januari watavukaje.
Ile ya kusema kila mtoto anakuja na bahati yake hiyo haipo siku hizi, we zaa angalau ukiwa na miaka 40+, ndio maana wenzetu nje wanazaa watoto 2 au 1.
Utakua mzembe sana, unakula vibaya au hufanyi mazoezi...kisukari miaka labda 70Miaka 40 visukari vishaanza kukuandama mwilini.
Miaka 44 bado kijana mkuu, bila hata kufanya hayo...Mnachekesha vijana wadogo, mimi am 44yrs, na nipo fire vibaya sana, siri kubwa nafanya mazoezi makali,nakunywa tangawizi,mdalasini,karafuu, na kingine karanga kwa sana,na vyakula vya proten,
Maji ndio starehe yangu pia, kwa mwanaume miaka 40 bado sana, labda nyie kwakuwa hamtafikia umri huu tulionanao,siwezi ongea sana maana hutoelewa, Mungu ajalie mfe mkuwa wadogo ivyo ivyo,maana mnatusimanga sana wapuuzi nyie(joking)
Ulikuwa na watoto wangapi kwenye iyo age?Nikweli kabisa
Nna ushuhuda 24 nilianzia.
Siwashauri.
Mzee wangu kanizaa na miaka 50, na darasani nilikuwa nakuwa wa kwanza..mhitimu wa shule ya vipaji maalumMiaka 40 utazaa wehu tupu Dogo
gain nasema! Watu humu ebu acheni kupangiana maisha humu kwani hii dunia watu wanapenda kuwapangia maisha wenzao acheni hizo upuuzi tupuUnakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia.
Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake yote ya ujanani mpaka uzeeni anaishi kwa kuteseka, kwa kugharamia familia kwenye mahitaji na elimu.
Ukitaka kushuhudia hili, mtazame mwenzako au ata jirani yako hapo mtaani, hawana furaha kabisa, wote wanawaza mwezi januari watavukaje.
Ile ya kusema kila mtoto anakuja na bahati yake hiyo haipo siku hizi, we zaa angalau ukiwa na miaka 40+, ndio maana wenzetu nje wanazaa watoto 2 au 1.
kwa hiyo mwenzetu ni mungu,unajua mpaka wakati wa kumpa mtu pesa sio,SISI WALOKOLE PURE,MUNGU WETU ANA MAHESABU MAKALI SANA,ANAFUNGUAGA MILANGO YA PESA NA AHUENI YA MAISHA,KUANZIA MIAKA 60..+Umri wa kupata pesa unajulikana,ni wakati unapokuwa kijana bado una nguvu, muda ukienda inabaki kubahatisha.
Huo ni umri wa kupumzika na kulea wajukuu, ukibahatisha kupata pesa shukuru Mungu.kwa hiyo mwenzetu ni mungu,unajua mpaka wakati wa kumpa mtu pesa sio,SISI WALOKOLE PURE,MUNGU WETU ANA MAHESABU MAKALI SANA,ANAFUNGUAGA MILANGO YA PESA NA AHUENI YA MAISHA,KUANZIA MIAKA 60..+