Kuzaa mapema ni kujiongezea majukumu yasiyokuwa ya lazima

Hizo ni theory tu mkuu mda wowote tu kina happen nilitamani kuzaa under 25🥶Ila huo umri ukapita
Jojo angalikuwa amezaa baada ya kufikisha miaka 30 hili lisingejitokeza
 
Mfano wa Equation x upo katika kisa hiki.

Kama Jojo angezaa akiwa amefikia umri wa kuanza majukumu ya kulea asingemuacha mtoto ili akajivinjari. Umri huo kwa mwanamke ni miaka 30+ na mwanaume 35+
 
Nahisi kila mtu aheshimiwe na mtazamo wake hata kama it doesnt make sense at all.
Sio sawa kuaminisha watu mtazamo wako usio na kichwa wal miguu.

We mature by responsibilities not by age. With your mentality, you will mature during menopause.
 
Unakuta kijana wa miaka 25 ameanza kuitwa baba, hapo ujana ataufurahia kweli zaidi ya kujibebesha majukumu mazito?
Kwani mdau, kuufurahia ujana kwa upande wako ni kufanya nn labda?

Kwangu kuufurahia ujana ni kusaka pesa, furaha na amani (kuanza kuwekeza kwenye hivyo vitu) hata kuwa na mtoto ni uwekezaji wa furaha(familia).

Labda kama unaogopa majukumu, na mtoto wa kiume kuogopa majukumu huo ni udhaifu mkubwa sana.

Yani kwa hii mada yako labda ungesema vijana wasizae hovyo kama bado hawajajipata. Au wasizae watoto wengi kama bado maisha hayaeleweki. Hapa ningekuunga mkono.
 
Umapema kwa kigezo kipi? Umri, kujipata, kipato au,? Kama umri, kuna wanaifikisha 35+na bado hakijaeleweka! Waendelee kusubili? Kuna wengine at 20+ tayari wana ukwasi wa 50M kwa mwaka! Kwa nini usioe?
Oa ukiwa tayari kwa kipato, hisia,
 
uzae kuanzia 40+ unajua umri wako wa kuishi hapa duniani acha kiburi cha uzima
 
Miaka 44 bado kijana mkuu, bila hata kufanya hayo...
 
Nikweli kabisa
Nna ushuhuda 24 nilianzia.
Siwashauri.
Ulikuwa na watoto wangapi kwenye iyo age?
Kama ni zaidi ya mmoja na hukujipanga, hapo uliyumba. Na nitakubaliana na ushauri wako.

Ila kama ni mmoja na ukaona mambo mazito, bac kuna namna mzazi mwenzako alikuwa tegemez pia. Hivyo ulikuwa unalea mtoto &mama.
 
A gain nasema! Watu humu ebu acheni kupangiana maisha humu kwani hii dunia watu wanapenda kuwapangia maisha wenzao acheni hizo upuuzi tupu
 
Umri wa kupata pesa unajulikana,ni wakati unapokuwa kijana bado una nguvu, muda ukienda inabaki kubahatisha.
kwa hiyo mwenzetu ni mungu,unajua mpaka wakati wa kumpa mtu pesa sio,SISI WALOKOLE PURE,MUNGU WETU ANA MAHESABU MAKALI SANA,ANAFUNGUAGA MILANGO YA PESA NA AHUENI YA MAISHA,KUANZIA MIAKA 60..+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…