Kuzaa mapema sio kupata msaada/ suluhu za uzeeni

Wazazi wa kiafrika wana vituko sana...yaan ni anazaa kwa ajili ya kupata faida Fulani mbeleni kutoka kwa mtoto mweeh,[emoji848]
Kuna siku kijana wangu mkubwa (yupo chuo) aliwahi kuniuliza kwamba..... baba kwanini umetuzaa watoto wengi..??
Nilimjibu kwamba ni kwasababu ninaweza kuwalisha vizuri, kuwavisha, kuwatibu, kuwasomesha shule nzuri na bado nikabaki na pesa ya kujitunzia akiba.
Lakini kuna wakati hua napungukiwa kwasababu bado sijajitosheleza.
 
Ndo watanzania walivyo
 
hizi mambo hazina fomula, ni neema tu
 

Wewe umenipata vyema
 
Ila kuzaa mapema ni vizuri Ili mpite wote kipindi cha ujana, na sio wewe upo 40 unawaza maendeleo mwenzio yupo under 25 anawaza club, pamba, pizza, outing.
Pia ukifika kuanzia 45 speed ya mashine upungua nguvu sababu ya umri pia kukinai sababu huoni kipya wakati mwenzako ndio kwanza anawaza staili mpya mjini.
 
Oa mapema zaa mapema ukifika miaka 50 tafuta Shamba katulie nchi ya mji Ili uishi miaka mingi huu umri haitakiwi stress za kuwaza kumsomesha, sijui makelele ya mke nk. Ni umri wa ya kutafakari zaidi kwa kuishi kwa utulivu
 
Kuna tofauti ya kuzaa mapema na kuzaa watoto wengi na kuzaa watoto wengi Ili uje usaidiwe.

Binafsi ninapenda maisha yangu na ninapenda nifurahie maisha yangu ndipo niliamua kuzaa mapema at 28 tayari nilikuwa nimemaliza kuzaa by the time am 60 firstborn atakuwa na 36,34 last born 32.
 
mzee wangu alioa akiwa na miaka 16 mama 15. una uhakika hatumsaidii
 
I
I conquer with you
 
SIJUI NI KWANINI ILA UKIFUATILIA UTAGUNDUA WANAOWAHI KUZAA MAPEMA HUWAHI KUKUZA NA WANAPOFIKA KWENYE 45+ HUPOTEZA FOCUS YA MAISHA, KIUCHUMI NA KUANZA KUSUMBUA WATOTO ILA WALE AMBAO HUCHELEWA HATA KUFIKA 50+ WANAKUWAGA ACTIVE SANA NA MARA NYINGI WANAKUWA NI WATU WALIOJIPANGA VIZURI NA WENYE UAFADHALI WA KIMAISHA KULINGANISHA NA WALE WALIOWAHI KUZAA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…