Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Japokuwa maisha yenyewe hayana fomula maalum ila ikija Kwenye suala la kuzaa lazima vigezo Fulani vizingatiwe;
1.Ukomavu wa kiakili na kihisia
2.Uwezo wa kiuchumi
3.Utayari wa kuzikabili changamoto zitakazotokea kwenye uzazi na mengineyo.
1.Ukomavu wa kiakili na kihisia
2.Uwezo wa kiuchumi
3.Utayari wa kuzikabili changamoto zitakazotokea kwenye uzazi na mengineyo.