Kuzaa mapema sio kupata msaada/ suluhu za uzeeni

Kuzaa mapema sio kupata msaada/ suluhu za uzeeni

Wazazi wa kiafrika tibadilike Zara na somesha watoto kulingana na kipato chako,habari ya kusomesha watoto zaidi ya kipato unakopa na kulipa kwa jasho likikutoka kwa vigezo watakusaidia uzeeni ni kama unawatunzia laana wanao ni suala la muda tu unaitoa kwao kwa kuwa wameshindwa kurudisha fadhila,baadhi ya wazazi mnawapa wanenu mzigo mkubwa hamjui tu hasa hawa first born au waliofamikiwa kutoboa wanalemewa kwa wingi wa wategemezi,wazazi jipangeni kwa ajili ya uzee kama bado nguvu ipo na ulikuwa ukifanya shughuli yyte endelea kufanya hata mtt anapotaka kufanya maendeleo anaanzia ulipoishia anaendeleza..let's say huwa umejenga ,pengine pesa ya kula tu mtihani na huna shughuli yyte ya kufanya,unategemea mwanao ayatimize yote hayo while na yy anafamilia tayari,lakin endapo kama mzazi angekuwa na uhakika wa kula kwa kufanya shughuli yyte ya kipato mtt ungeanza na ujenzi..WAZAZI TUANDAE MAISHA YETU YA UZEENI TUSIWAPE MZIGO MKUBWA WATOTO,wengi wao wakishamaliza kusomesha wanataka wavune walichpanda ndo chanzo cha magomvi na wakwe zao kwa wivu wa kipuuuzi kuona wanafaidi sana kuliko wao
 
SIJUI NI KWANINI ILA UKIFUATILIA UTAGUNDUA WANAOWAHI KUZAA MAPEMA HUWAHI KUKUZA NA WANAPOFIKA KWENYE 45+ HUPOTEZA FOCUS YA MAISHA, KIUCHUMI NA KUANZA KUSUMBUA WATOTO ILA WALE AMBAO HUCHELEWA HATA KUFIKA 50+ WANAKUWAGA ACTIVE SANA NA MARA NYINGI WANAKUWA NI WATU WALIOJIPANGA VIZURI NA WENYE UAFADHALI WA KIMAISHA KULINGANISHA NA WALE WALIOWAHI KUZAA.
Kama kuna ukweli hivi maana hicho unachokisema kimemkuta ndugu yangu
 
Hata kama tukitazama suala la uchumi na afya ya akili, nayo kwangu bado nayaona mepesi vile vile.

Mfano ukizungumzia uchumi, hebu niambie, ni muda gani ambao una hakika ukifika, mtu fulani atakuwa amefanikiwa kiuchumi? baada ya kumaliza chuo na kupata ajira? hiyo ajira itapatikana lini? isipopatikana huyu mtu aendelee kusubiri tu mpaka siku ifike yakufanikiwa asiyoijua?!

Hata kama ni biashara, tunaona biashara ngapi zinakufa kila siku? kwa hiyo hawa waendelee kusubiri tu mpaka siku mifuko yao itakapotuna ndio wapate watoto? hii hoja yenu kwangu haina maana.

- Afya ya akili, ukiondoa mazezeta na machizi, binafsi sioni kama kuna mtu mwingine tofauti na hao mwenye tatizo la afya ya akili, mnachofanya hapa kinaweza kuwa ni sawa na kuingilia maamuzi ya wengine, nothing else.
Mkuu kwani kupata mtoto ni lazim??

Kwa maelezo yako, inaonesha ni lazima mtu awe n mtoto.
Kama jchumi wako hauruhusu kwanini ulete kiumbe duniani, ili ukinyanyase?

Yaani haujajipanga, akili huna, pesa huna na umejion una miaka 40, basi unazaa eti usife bila mtoto, huo ni upumbavu huyo mwanao akulelee nani??
 
Wazazi wa kiafrika tibadilike Zara na somesha watoto kulingana na kipato chako,habari ya kusomesha watoto zaidi ya kipato unakopa na kulipa kwa jasho likikutoka kwa vigezo watakusaidia uzeeni ni kama unawatunzia laana wanao ni suala la muda tu unaitoa kwao kwa kuwa wameshindwa kurudisha fadhila,baadhi ya wazazi mnawapa wanenu mzigo mkubwa hamjui tu hasa hawa first born au waliofamikiwa kutoboa wanalemewa kwa wingi wa wategemezi,wazazi jipangeni kwa ajili ya uzee kama bado nguvu ipo na ulikuwa ukifanya shughuli yyte endelea kufanya hata mtt anapotaka kufanya maendeleo anaanzia ulipoishia anaendeleza..let's say huwa umejenga ,pengine pesa ya kula tu mtihani na huna shughuli yyte ya kufanya,unategemea mwanao ayatimize yote hayo while na yy anafamilia tayari,lakin endapo kama mzazi angekuwa na uhakika wa kula kwa kufanya shughuli yyte ya kipato mtt ungeanza na ujenzi..WAZAZI TUANDAE MAISHA YETU YA UZEENI TUSIWAPE MZIGO MKUBWA WATOTO,wengi wao wakishamaliza kusomesha wanataka wavune walichpanda ndo chanzo cha magomvi na wakwe zao kwa wivu wa kipuuuzi kuona wanafaidi sana kuliko wao

Ni kweli Kabisa.
Mzazi lazima aingie uchungu ikiwa alisomesha Kwa gharama kubwa ya jasho na damu alafu mtoto asirejeshe faida yoyote
 
Mkuu kwani kupata mtoto ni lazim??

Kwa maelezo yako, inaonesha ni lazima mtu awe n mtoto.
Kama jchumi wako hauruhusu kwanini ulete kiumbe duniani, ili ukinyanyase?

Yaani haujajipanga, akili huna, pesa huna na umejion una miaka 40, basi unazaa eti usife bila mtoto, huo ni upumbavu huyo mwanao akulelee nani??

Unaitwa Ubinafsi
 
Sijui huwa ni bahati tu au ni nini
Kuna wazee tuko nao jirani umri umeenda sana tu, walibahatika kuzaa watoto 15 enzi zao mapema kabisaa, ajabu hakuna mtoto wao hata mmoja aliyekubali shule wote wanaishi kwa kubangaiza tu.
Wajukuu ndio wako kibao wamejaziwa wawalee ,huyu mzee pamoja na umri kwenda bado anafanya kazi za ujenzi za hapa na pale,kwa kweli inasikitisha
 
Maisha ni kitendawili
 
Kuna tofauti ya kuzaa mapema na kuzaa watoto wengi na kuzaa watoto wengi Ili uje usaidiwe.

Binafsi ninapenda maisha yangu na ninapenda nifurahie maisha yangu ndipo niliamua kuzaa mapema at 28 tayari nilikuwa nimemaliza kuzaa by the time am 60 firstborn atakuwa na 36,34 last born 32.
We unapanga yako mungu na yeye anapanga yake! Huo uhakika wa kufikisha miaka 60 umeutoa wapi?
 
We unapanga yako mungu na yeye anapanga yake! Huo uhakika wa kufikisha miaka 60 umeutoa wapi?
Yote majaliwa, ukiwaza kufa hutokaa ufanyekazi Wala kuhangaika kutafuta pesa, kikubwa kumcha Mungu upate mwisho mwema
 
Duh hii mada mbona inaishia ukurasa wa 4 tu mi nataka uendelee ili nijifunze kitu. Endeleen na mada basi wakulungwa
 
Kujipanga mapema sio sababu ya kupata watoto,maisha hayatabiriki anytime unaweza ukafilisika,ukapata ajali,ukaenda jela wakati watoto hawajukua kujitegemea.

Watoto na kuzaa is very natural part of our existence ambayo haitegemei pesa.

Mali au kujipanga kunahusika. Ukiamini watoto ni mzigo na hutoweza kuwatunza mpaka uwe na hiki au hiki basi itakua hivo hivo,kama unaamini watoto na kuzaa is very natural thing na nature itahudumia watoto wako basi itakua hivo hivo. Maskini kibao Wana watoto na wanawasaidia,wengine wamekua mizigo hata matajiri Wana watoto kama wa maskini(some are assets some liabilities)

Inshort maisha it's just short time to experience the world and we die. Nothing serious to focus and take all your life for. Familia,watoto,kazi,Mali na cheo vyote vina umuhimu pia havina umuhimu ukivokosa.

Kabla ya kuzaliwa na unapokufa it's the same thing, nothing in this world matters because umeikuta Dunia. Hao watoto uzae au usizae ni sawa sawa. Ukiangalia Kwa ukubwa. Wewe ndio kila kitu,wewe ndio DUNIA.

Ili ujue Kuna maisha lazima uwe HAI,na ukiwa hai ndio utajua Mali,familia,kazi,marafiki na vyengine vya kidunia,ambavo ni Bonus tu katika haya temporary life

I believe kila binaadamu ni powerful,anaweza leta impact katika Dunia hii lakini haimaanishi kuichukuiia Dunia kama ndio kila kitu. Lazima uwe hivi,ufanye hivi,uishi hivi Ili uwe wa maana. Vyote hivo ni akili yetu imevipa umuhimu.

Kila mtu anaweza akawa na mtoto,familia,furaha,kucheka,marafiki bila kujali standard za binaadamu walizojiwekea Ili uwe wa maana. Mpaka unasoma post hii means upo hai na una maana.
 
Ukichelewa sana watoto wako watakuja kukuita babu badala ya baba.
Chamsingi haufi naunashiriki maradufu katika malezi yao bila kutetereka kiuchumi. Kwani kuitwa babu ni tusi.
 
Back
Top Bottom