Hao wanaume unaosema hawana hizo pigo ni majombaz au mabubaz wanatafuta wakustiriana nayeWanaume watoto labda.. wengi hawana hizo pigo!
Si kweli..Hao wanaume unaosema hawana hizo pigo ni majombaz au mabubaz wanatafuta wakustiriana naye
Huo ndio ukwel japo hukatazwi kupingaSi kweli..
Hapana, Kinshwi ni neno la kihaya...la matumizi ya kila siki, maybe na makabila mengine neno hilo lipo....Umejuaje mimi ni mhaya mkuu? Wahaya ndio wanazaa bila ndoa??