Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Lilian na Vivian walikuwa majirani, wote wawili wazazi wao walikuwa maofisa waandamizi serikalini. Wote walisoma Kenya shule ya msingi na upili na walikwenda vyuoni Ulaya.
Lilian alibahatika kuolewa baada ya masomo, alipata watoto wawili wa kike na wa kiume. Wa kike aliitwa Tyrana wa kiume aliitwa Trevor. Vivian alipata mimba na kuamua kuitunza. Alipata mtoto wa kike na kumuita Mary.
Tyra, Mary na Trevor walisoma shule moja, kwa uhakika iliukuwa shule ya mchepuo wa Kiingereza. Wazazi wao waliwapa exposure zote unazozijua. Hawa watoto holiday walikwenda nchi wanayopenda au beach hotel wanayopenda. Weekends wakiwa nyumbani ilikuwa ni get together na barbecue.
Walikuwa na sleep over weekends wakiwa nyumbani. Hapa Mary na Trevor walianza mapenzi. Wakiwa kwa Vivian Tyra anaondoka katikati ya usiku na kumpisha Trevor alale na Mary. Hata wakiwa kwa Lilian walifanya hivyo.
Mary alipokosa siku zake alianza kuwa na wasiwasi, kabla hajafikiria sana alianza kutapika. Wote hawakutaka wazazi wao wafahamu. Trevor alinunua abortion pills alizoshauriwa na rafiki yake.
Ilikuwa likizo ya December na wazazi walipanga watoto na wao kula Christmas Saadan. Wakiwa kule Mary alianza maumivu tumboni, damu ilianza kumtoka, alivumilia kama alivyopata maelezo kabla ya kunywa dawa.
Katikati ya usiku Mary alipoteza damu nyingi sana na kupoteza fahamu. Mpaka wazazi kugundua na kutafuta usafiri wa kwenda hospitali, hali ilikuwa tete. Mary alifariki hospitali kubwa kabla ya kupata huduma.
Wazazi tuwe macho na hizi sleep overs zina mambo mengi.